Naweza kusoma nini na chuo kipi kwa division four point 33

Unaweza kujiunga na VETA katika kozi yoyote uinayoipenda. Nenda chuo chochote cha VETA upate maelekezo zaidi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bado kidogo ungepata Zero! Nakushauri urudi kidato cha kwanza, ikiwezekana ubadili jina. Una matatizo makubwa!
 
Ina maana mpaka unamaliza form 4 bado huna vision, ungesema walau dream yako ilikuwa nini ungeweza kupata ushauri bora zaidi.
 
Jaman matokeo yameniacha vibaya na sitaki kuludia shule,naweza kusoma nini na matokeo yangu ni division four point 33,naomba ushauri maana nahisi kukata tamaa.
Kama una D mbili kuna kozi a kusoma, nenda TPSC au VETA utapata maelekezo. Nin watu wengi tu nawajua walikuwa na D mbili lakini mpaka sasa wana zaidi ya shahada. Yavulie maji nguo....
 
St John's University of Tanzania wana certificate ya law ambayo entry qualification ilikuwa ni passes 2 za form four, kwasasa sifahamu ila kama unapenda kozi ya sheria jaribu kuwasiliana nao. vyuo vingine vingi kwa kozi mbalimbali za certificate wanataka watu wenye kuanzia passes 4.
ukishindwa kupata chuo wakati huu jaribu kurudia mitihani ili upate matokeo ambayo yatakuwezesha kujiunga na chuo hata mwakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…