Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una D mbili kuna kozi a kusoma, nenda TPSC au VETA utapata maelekezo. Nin watu wengi tu nawajua walikuwa na D mbili lakini mpaka sasa wana zaidi ya shahada. Yavulie maji nguo....Jaman matokeo yameniacha vibaya na sitaki kuludia shule,naweza kusoma nini na matokeo yangu ni division four point 33,naomba ushauri maana nahisi kukata tamaa.