Tanki JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 538 Reaction score 246 Aug 13, 2014 #1 Msaada kwenye tuta wakuu.
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,625 Aug 13, 2014 #2 Inatemea, but pia VETA
Tanki JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 538 Reaction score 246 Aug 13, 2014 Thread starter #3 Mafikizolo said: Inatemea, but pia VETA Click to expand... sijakuelewa mkuu
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,625 Aug 13, 2014 #4 Jaribu VETA unasoma mkuu!!
Michael Ngusa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,637 Reaction score 463 Aug 13, 2014 #5 Unasoma bila shaka. Mi mbona nimesomea kupitia Youtube na sasahivi nina ajira kubwa kwenye Printing industry, nimeoa nikatengeneza na familia?! Kwanza hiyo kwenye kutafuta kazi hawaombagi hata vyeti maana wanajua unaweza kujitengenezea.
Unasoma bila shaka. Mi mbona nimesomea kupitia Youtube na sasahivi nina ajira kubwa kwenye Printing industry, nimeoa nikatengeneza na familia?! Kwanza hiyo kwenye kutafuta kazi hawaombagi hata vyeti maana wanajua unaweza kujitengenezea.
M mugajamii JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 859 Reaction score 491 Aug 13, 2014 #6 Pamoja na kuwa unawaza kusomea lakini kikubwa ni kipaji, ubunifu wako ndio unaokupa chance popote