Unasoma bila shaka. Mi mbona nimesomea kupitia Youtube na sasahivi nina ajira kubwa kwenye Printing industry, nimeoa nikatengeneza na familia?! Kwanza hiyo kwenye kutafuta kazi hawaombagi hata vyeti maana wanajua unaweza kujitengenezea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.