Naweza kusomea nini baada ya kusoma CBG?

Naweza kusomea nini baada ya kusoma CBG?

duu swal juu y swal sor lkn hiyo PHARMACEUTICALS inahus nn na ipo chuo gan

Huu ni ufamasia, kwa kifupi hii ni elimu ya madawa. Kwa ngazi ya digrii, kozi hii inafundishwa Bugando (Cuhas), Muhimbili (Muhas), KCMC vyuo vingine sikumbuki
 
Soma Pharmacology...hutojuta. Mi nilipiga science O - Level then EGM....if i had a second chance ningepiga CBG then medicine.

Ila yote maisha tu.

Mkuu phamacology mkuu Inaweza kusomwa na mwenye form 4 naomba unifahamishe
 
Nenda kasome course ulyokuwa na unaipenda mwenywe ilyokuwa kwenye malengo yko...hakuna kazi inayolipa vibaya wala vizuri..na swala la ajira ukisema ualimu ajira rahisi sasa hivi serikali imesimamisha ajira...braza ukitaka kufanikiwa katika maisha fanya kitu/kazi unayoipenda moyoni
 
Back
Top Bottom