Naweza kutengeneza vifungashio vya khaki. Nikaombe kazi au nifungue mwenyewe industry?

Unawauzia wauza chips au madukani kwa ajili ya kubebea bidhaa
 
Mkuu nlikuwa na wazo kama hili, kuna jamaa angu nae anatengeneza ila sio kwa ubora niliouona kwenye picture, nitumie number inbox tuyajenge boss
 
Hata ukimuuliza Bakharesa atakwambia hana mtaji.
Anza na ulicho nacho hata kama ni elfu 10. Nunua malighafi tengeneza,kauze rudi tena dukani..nunua,tengeneza kauze,(Malighafi nunua duka moja tu)baada ya kufanya hivyo mara angalau kumi utapata mambo matatu;

1.Utajenga uteja na muuzaji wa malighafi ambae sasa anaweza kukukopesha malighafi nyingi zaidi..
2.Utakua umejua kila kiasi gani cha malighafi kinazalisha faida kiasi gani.
3.Itakua umeshatengeneza mtandao wa wanunuzi (wateja) wa bidhaa yako.

NB: KILA BAADA YA KUUZA ANGALAU MARA TANO HAKIKISHA UNAONGEZA UBORA WA BIDHAA YAKO KUELEKEA KUA NA UBORA WA KIMATAIFA.
BAADA YA MIAKA MINNE NAAMINI UTAMILIKI MASHINE ZA KUTENGENEZA BIDHAA ZA KARATASI ..Mf, Bahasha,mifuko kama hiyo n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzhoe Packaging Machine

WhatsApp
+86 136 0064 4862

Ili ujue idea yako ni kubwa kiasi gani wasiliana na hiyo kampuni watakuonyesha aina za mashine na technologia yao ya lutengeneza hiyo mifuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu umeielewa mada kweli?
 
Nyinyi ndio mnaofanya watu wakae nyumban ulishawahi jiuliza kuna vibanda vingapi vya chipsi na kila kukicha vinazidi kuongezeka uwepo wa mifuko mingi sio sababu wa mtu kuekeza kwenge sekta hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yakuambiwa changanya na zako,hatuwezi wote tukafanana kimtazamo.Maisha hayana replay huu sio mda wa kufanya majaribio kijana anataka kufanya majaribio.
 
Nyinyi ndio mnaofanya watu wakae nyumban ulishawahi jiuliza kuna vibanda vingapi vya chipsi na kila kukicha vinazidi kuongezeka uwepo wa mifuko mingi sio sababu wa mtu kuekeza kwenge sekta hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonyesha utakuwa umesomea mambo ya takwimu ebu tupe statistics ya vibanda vya chips kwa mwaka wa 2020??
 
Kwa mtazamo wako unaona mwisho watu watano,je akitaka kuajiri watu zadi ya kumi kuna ubaya gani hapo,hao wenye kuhukua watu wawili ama watano labda ni wachoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…