Hata ukimuuliza Bakharesa atakwambia hana mtaji.
Anza na ulicho nacho hata kama ni elfu 10. Nunua malighafi tengeneza,kauze rudi tena dukani..nunua,tengeneza kauze,(Malighafi nunua duka moja tu)baada ya kufanya hivyo mara angalau kumi utapata mambo matatu;
1.Utajenga uteja na muuzaji wa malighafi ambae sasa anaweza kukukopesha malighafi nyingi zaidi..
2.Utakua umejua kila kiasi gani cha malighafi kinazalisha faida kiasi gani.
3.Itakua umeshatengeneza mtandao wa wanunuzi (wateja) wa bidhaa yako.
NB: KILA BAADA YA KUUZA ANGALAU MARA TANO HAKIKISHA UNAONGEZA UBORA WA BIDHAA YAKO KUELEKEA KUA NA UBORA WA KIMATAIFA.
BAADA YA MIAKA MINNE NAAMINI UTAMILIKI MASHINE ZA KUTENGENEZA BIDHAA ZA KARATASI ..Mf, Bahasha,mifuko kama hiyo n.k
Sent using
Jamii Forums mobile app