- Thread starter
- #21
Ni ukweli Sina uzoefu wa mambo hayo, na ndio maana nimeona humu kuna wenye uzoefu mnisaidieUelewa wako mdogo sana aisee! Si ujiongeze hata usome taratibu za Visa online?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ukweli Sina uzoefu wa mambo hayo, na ndio maana nimeona humu kuna wenye uzoefu mnisaidieUelewa wako mdogo sana aisee! Si ujiongeze hata usome taratibu za Visa online?
Kichwa cha thread kinasema umetumiwa visa, post yako inasema umetumiwa form ya visa.Habari ya wakati huu, wakuu?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, na ni ndoto zangu kwenda nchi ya Canada au ughaibuni popote tofauti na bara la Asia kusoma na kutafuta maisha. Nina shahada ya sheria, lakini hata hela ya kwenda pale Law School ni tatizo. Kama kijana nisiye na manung'uniko na kulaumu mzazi kutoniendeleza, nimefanya jitihada kadhaa mpaka sasa, kuomba scholarship na najinoa pia lugha kwa ajili ya mitihani ya IELTS.
Lakini katika mizunguko yangu, kuna mzungu mmoja ambaye hatufahamiani aliniuliza maswali kadhaa, na kwa kuwa anuani yake inaonesha yupo Canada, Jimbo la Quebec, nilimuomba kama kuna namna naweza kwenda nchi yao. Akasema ipo, akanitumia fomu ya VISA ambayo ilikuwa kwa lugha ya Kifaransa. Nikatafuta watu, nikawalipa wakanisaidia kuijaza.
Baadaye, akaniambia nitume hela kwenda huko kwao kwa ajili ya kuthibitisha taarifa zangu, hapo ni baada ya kupokea barua pepe kadhaa zinazoonesha kwamba taarifa zangu zimepokelewa. Nikaamua kwanza elimu yangu inisaidie, maana kusikia cha kike kuingia ni rahisi sana.
Nikadelay kulipia kiasi hicho cha shilingi laki mbili na hamsini, nikamuambia sina, labda next round. Lakini amekuwa mtu anayenisisitiza kuwa ameomba faili langu lihifadhiwe na wamekubali. Nifatilie passport, NIDA, na ripoti ya matibabu, halafu nilipie na pesa.
Kwa kuwa sio mtu tunayefahamiana zaidi ya mitandaoni, naingiwa mashaka, na hili linanileta jinamizi. Ninaomba kujua jinsi ya kuthibitisha taarifa zangu kama kweli zipo Canada. Kwa mwenye ujuzi, naomba anisaidie.
Ni form ya VISA mkuuKichwa cha thread kinasema umetumiwa visa, post yako inasema umetumiwa form ya visa.
Mpaka hapo ushatuchanganya.
Nenda ubalozi wa Canada kawaulize kuhusu kuhakiki huo mchongo mzima kama ni wa kweli au la.Ni form ya VISA mkuu
Sasa shule huwa mnakwenda kusomea nini? Tena mwanachuo kabisa!Habari ya wakati huu, wakuu?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, na ni ndoto zangu kwenda nchi ya Canada au ughaibuni popote tofauti na bara la Asia kusoma na kutafuta maisha. Nina shahada ya sheria, lakini hata hela ya kwenda pale Law School ni tatizo. Kama kijana nisiye na manung'uniko na kulaumu mzazi kutoniendeleza, nimefanya jitihada kadhaa mpaka sasa, kuomba scholarship na najinoa pia lugha kwa ajili ya mitihani ya IELTS.
Lakini katika mizunguko yangu, kuna mzungu mmoja ambaye hatufahamiani aliniuliza maswali kadhaa, na kwa kuwa anuani yake inaonesha yupo Canada, Jimbo la Quebec, nilimuomba kama kuna namna naweza kwenda nchi yao. Akasema ipo, akanitumia fomu ya VISA ambayo ilikuwa kwa lugha ya Kifaransa. Nikatafuta watu, nikawalipa wakanisaidia kuijaza.
Baadaye, akaniambia nitume hela kwenda huko kwao kwa ajili ya kuthibitisha taarifa zangu, hapo ni baada ya kupokea barua pepe kadhaa zinazoonesha kwamba taarifa zangu zimepokelewa. Nikaamua kwanza elimu yangu inisaidie, maana kusikia cha kike kuingia ni rahisi sana.
Nikadelay kulipia kiasi hicho cha shilingi laki mbili na hamsini, nikamuambia sina, labda next round. Lakini amekuwa mtu anayenisisitiza kuwa ameomba faili langu lihifadhiwe na wamekubali. Nifatilie passport, NIDA, na ripoti ya matibabu, halafu nilipie na pesa.
Kwa kuwa sio mtu tunayefahamiana zaidi ya mitandaoni, naingiwa mashaka, na hili linanileta jinamizi. Ninaomba kujua jinsi ya kuthibitisha taarifa zangu kama kweli zipo Canada. Kwa mwenye ujuzi, naomba anisaidie.
Kusoma mambo mengi tu, mojawapo ni reasoning ambayo kabla sijafanya maamuzi nimeamua, kujiridhishaSasa shule huwa mnakwenda kusomea nini? Tena mwanachuo kabisa!
Unapigwa mchana kweupe.Habari ya wakati huu, wakuu?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, na ni ndoto zangu kwenda nchi ya Canada au ughaibuni popote tofauti na bara la Asia kusoma na kutafuta maisha. Nina shahada ya sheria, lakini hata hela ya kwenda pale Law School ni tatizo. Kama kijana nisiye na manung'uniko na kulaumu mzazi kutoniendeleza, nimefanya jitihada kadhaa mpaka sasa, kuomba scholarship na najinoa pia lugha kwa ajili ya mitihani ya IELTS.
Lakini katika mizunguko yangu, kuna mzungu mmoja ambaye hatufahamiani aliniuliza maswali kadhaa, na kwa kuwa anuani yake inaonesha yupo Canada, Jimbo la Quebec, nilimuomba kama kuna namna naweza kwenda nchi yao. Akasema ipo, akanitumia fomu ya VISA ambayo ilikuwa kwa lugha ya Kifaransa. Nikatafuta watu, nikawalipa wakanisaidia kuijaza.
Baadaye, akaniambia nitume hela kwenda huko kwao kwa ajili ya kuthibitisha taarifa zangu, hapo ni baada ya kupokea barua pepe kadhaa zinazoonesha kwamba taarifa zangu zimepokelewa. Nikaamua kwanza elimu yangu inisaidie, maana kusikia cha kike kuingia ni rahisi sana.
Nikadelay kulipia kiasi hicho cha shilingi laki mbili na hamsini, nikamuambia sina, labda next round. Lakini amekuwa mtu anayenisisitiza kuwa ameomba faili langu lihifadhiwe na wamekubali. Nifatilie passport, NIDA, na ripoti ya matibabu, halafu nilipie na pesa.
Kwa kuwa sio mtu tunayefahamiana zaidi ya mitandaoni, naingiwa mashaka, na hili linanileta jinamizi. Ninaomba kujua jinsi ya kuthibitisha taarifa zangu kama kweli zipo Canada. Kwa mwenye ujuzi, naomba anisaidie.
huna haja ya kutumia huo ushaur mkuu, huyo ni tapel achana naye, visa zinatolewa kwenye balozi na form ya kuomba visa zinapatikan huko huko au kwenye websites zao, hv official language ya canada ni kifaransa?Naomba nitumie ushauri huu, kama ulivyo
Asante huy me nimemkataa, ila Kifaransa pia ni lugha official canadahuna haja ya kutumia huo ushaur mkuu, huyo ni tapel achana naye, visa zinatolewa kwenye balozi na form ya kuomba visa zinapatikan huko huko au kwenye websites zao, hv official language ya canada ni kifaransa?
Quebec Canada wanaongea Kifaransa kama official language.huna haja ya kutumia huo ushaur mkuu, huyo ni tapel achana naye, visa zinatolewa kwenye balozi na form ya kuomba visa zinapatikan huko huko au kwenye websites zao, hv official language ya canada ni kifaransa?
Mkuu mambo ya safari na shule ni vitu tofauti kabisa wapo watu waliamini wakisoma watapata kazi Tanzania na maisha yataenda baadae wanakutana na changamoto za Ajira ndio wanakuja kujiongeza kwenye Visa inakua topic mpya kwao sass hivi graduate hana Passport waka driving licence unategemea nini na vyote hivyo vinataka hela kwa maisha yetu haya inabidi vionekane ni anasa...mwanafunzi akienda kuomba Passport maswali atakayoulizwa kesho arudi tena wakati huo huo mtoto wake wa miaka minne ashamkatia Passport...Uelewa wako mdogo sana aisee! Si ujiongeze hata usome taratibu za Visa online?
Nachofurahi mnapokuja kuuliza mnakuja na ID mpya mpya ila kwenye hoja za kujua mnatumia ID zile zile...Nashukuru Hali haijawa mbaya, nimestuka
Mkuu mambo ya safari na shule ni vitu tofauti kabisa wapo watu waliamini wakisoma watapata kazi Tanzania na maisha yataenda baadae wanakutana na changamoto za Ajira ndio wanakuja kujiongeza kwenye Visa inakua topic mpya kwao sass hivi graduate hana Passport waka driving licence unategemea nini na vyote hivyo vinataka hela kwa maisha yetu haya inabidi vionekane ni anasa...mwanafunzi akienda kuomba Passport maswali atakayoulizwa kesho arudi tena wakati huo huo mtoto wake wa miaka minne ashamkatia Passport...
Kimbia mm travela najua nachosema.unachat na mzungu poriHabari ya wakati huu, wakuu?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, na ni ndoto zangu kwenda nchi ya Canada au ughaibuni popote tofauti na bara la Asia kusoma na kutafuta maisha. Nina shahada ya sheria, lakini hata hela ya kwenda pale Law School ni tatizo. Kama kijana nisiye na manung'uniko na kulaumu mzazi kutoniendeleza, nimefanya jitihada kadhaa mpaka sasa, kuomba scholarship na najinoa pia lugha kwa ajili ya mitihani ya IELTS.
Lakini katika mizunguko yangu, kuna mzungu mmoja ambaye hatufahamiani aliniuliza maswali kadhaa, na kwa kuwa anuani yake inaonesha yupo Canada, Jimbo la Quebec, nilimuomba kama kuna namna naweza kwenda nchi yao. Akasema ipo, akanitumia fomu ya VISA ambayo ilikuwa kwa lugha ya Kifaransa. Nikatafuta watu, nikawalipa wakanisaidia kuijaza.
Baadaye, akaniambia nitume hela kwenda huko kwao kwa ajili ya kuthibitisha taarifa zangu, hapo ni baada ya kupokea barua pepe kadhaa zinazoonesha kwamba taarifa zangu zimepokelewa. Nikaamua kwanza elimu yangu inisaidie, maana kusikia cha kike kuingia ni rahisi sana.
Nikadelay kulipia kiasi hicho cha shilingi laki mbili na hamsini, nikamuambia sina, labda next round. Lakini amekuwa mtu anayenisisitiza kuwa ameomba faili langu lihifadhiwe na wamekubali. Nifatilie passport, NIDA, na ripoti ya matibabu, halafu nilipie na pesa.
Kwa kuwa sio mtu tunayefahamiana zaidi ya mitandaoni, naingiwa mashaka, na hili linanileta jinamizi. Ninaomba kujua jinsi ya kuthibitisha taarifa zangu kama kweli zipo Canada. Kwa mwenye ujuzi, naomba anisaidie.
Unachanganya vitu Mtaalamu wangu ngoja nipate juice hapa bhana...Graduate anaweza thibitisha almsot everything online, huitaji kujua kuhusu visa, unaitaji ku search information kuhusu visa
Hakika, hakika ni wa kumkataa huyuKimbia mm travela najua nachosema.unachat na mzungu pori
Huyo Jamaa ni Mjanja sana, Quebec ndo Jimbo pekee Canada ambapo Lugha rasmi ni Kifaransa! Ulivyosema alikutumia Documents zikiwa kwa Lugha ya Kifaransa, nikasema YES...!Ni kweli hao majamaa wa Lagos hawafai, japo nimeona nisikurupuke kwanza, niulizie uhalisia naona sasa nimpotezee tu kabla sijalizwa
Asante sana kaka [emoji120] ninalifanyia kazi hiliHuyo Jamaa ni Mjanja sana, Quebec ndo Jimbo pekee Canada ambapo Lugha rasmi ni Kifaransa! Ulivyosema alikutumia Documents zikiwa kwa Lugha ya Kifaransa, nikasema YES...!
Miaka 3 nyuma ilikua kidogo niende Quebec, nina rafiki pale, nilishaanza kujifunza mpaka Kifaransa, coz kwa aina ya Visa ambayo nilikua nataka, ningefanyiwa Interview na Ubalozi kama angalau namudu hata kujielezea kwa Kifaransa, sema safari yenyewe ikaingia Mdudu!
Naona Spirit yako, mimi nna uzoefu na mambo ya safari, ngoja nikupe idea....!
Zipo baadhi ya Nchi ambazo Zinaweza ku issue Visa yako huko huko kwenye hiyo nchi, Canada sio Moja wapo, kwa Canada kama una mwenyeji, yeye anachoweza kusaidia ni kukutumia barua ya Invitation, ambapo anakua amejifunga kukuhudumia wewe kipindi chote ukiwa huko, hasa kwa Visiting Visa, labda kukugharamia ticket ya go and return, na vitu vingine, hiyo barua ndo unaweza ku attach na Documents zako kwenda Ubalozini wewe mwenyewe kuomba Visa!
Ukiacha mipango yako ya kuomba ufadhiri wa masomo, tafuta Marafiki wa kizungu, tokea hapo hapo Quebec, tengeneza urafiki bila kuonyesha lengo lako, urafiki ukikolea, anza kuchomekea kuhusu Dhamira yako, mwambie rafiki yako, huitaji yeye akutumie pesa wala nini, unachoomba na akutumie tu mwaliko, na kwamba kuhusu ticket ya Ndege utagharamika mwenyewe, sidhani kama ticket ya ndege itakushinda, ukiweka nia, ndani ya miezi 3 ushapata rafiki tayari....!
Acha kujigonga gonga wewe. Utapigwa. Huyu 100% ni tapeli. Visa inatolewa na ubalozi na inabidi uende, ujaze fomu ulipie huko ubalozini, uhojiwe na ukikubaliwa ndiyo unapewa visa. Wewe endelea kuwasiana naye tu lakini unapoteza muda wako bure na pengine aje akushawishi utume fedha...Naomba nitumie ushauri huu, kama ulivyo
Unampotezea muda wewe. Watu wengine bwana. Huyu huoni ni tapeli anataka kumtapeli?Katika maombi ya Visa Kuna serial number.Fika ubalozi wa Canada upo baada ya makaburi ya Kinondoni Jengo lenye Ofisi za Benk ya kilimo opposite na ilipo DSTV watakuangalizia kwenye Server zao! Kama ni kweli umo utaonekana wewe na details zako! Asije akawa mzungu Mnaija anataka kukupigia hela! Visa ya Canada niliwai mjazia mtu mmoja jamaa angu toka Burundi .100% unajiandikisha na Kujaza info zote online ni web based na unaweza jaza kwa English au kifaransaJamaa alipata now yupo Canada.Garama yake andaa kama Dola 200..pale Kuna dogo an ofisi ana saidia wale wanataka kusaidiwa kujza maombi ya Visa kwa ujira mdogo