Naweza kutumia king'amuzi bila kulipia?

Naweza kutumia king'amuzi bila kulipia?

Zonga

New Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Tafadhali naomba nitumie keys za king'amuzi cha star times il nikinase for free
 
Nitumie keys za king'amuzi cha star times ili nikinase free
 
Yaani uibe huduma bila malipo ya mwezi au...?.Fafanua.
 
We mwizi nini!...unaomba msaada wa kuiba?...my hairs
Wabongo bana...starehe unapenda, lakini kutoa 9K unaona mateso!...angalia tbc1 basi!
 
Tafadhali naomba nitumie keys za king'amuzi cha star times il nikinase for free

Bofya MENU
Kisha select SYSTEM SETTINGS
Bofya OK itatokea CHANNEL SEARCH, nenda kulia
Select MANUAL SEARCH
Kisha ingiza 570 au 530 then bofya OK
Acha i search na ikimaliza bofya EXIT
Kisha check utaona kuna free channel zimeongezeka ikiwemo ITV, STAR TV, CHANNEL TEN,ATN na nyingine jumla kama 11,ila zingine hazita onyesha au utapata sauti bila pichaha.

Hii haikufanyi kupata chaneli za statimes bila malipo, HAPANA kulipia kupo pale pale
Hii itakufanya kupata channel zingine za ziada ambazo ni bure na startimes hawana kwenye package zao
Uzuri wake ni kwamba pindi package yako itakapo kwisha hutaweza kuona chaneli za package ya startimes ila utaendelea ku enjoy channel hizi zilizoongezeka wakati unatafuta ustaarabu wa kwenda kulipia

For more options bofya hapa https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/107626-startimes-na-vingamuzi-vyao.html
 
Habari wadau nilishawahi kusikia kwamba King'amuzi chochote kile kinacho lipiwa kunaufundi ambao unaweza kufanyika hadi mtumiaji asiwe anaakilipia? nitoeni tongotongo wadau. kama inawezekana basi kuna posho.
 
free? itakuwa ngumu sana

Habari wadau nilishawahi kusikia kwamba King'amuzi chochote kile kinacho lipiwa kunaufundi ambao unaweza kufanyika hadi mtumiaji asiwe anaakilipia? nitoeni tongotongo wadau. kama inawezekana basi kuna posho.
Pitia hizi thread kuna kitu cha kujifunza
 
Hamnaga hiyo makitu siku hizi
 
Back
Top Bottom