Naweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva?

Naweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva?

kinywele ki1

Senior Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
119
Reaction score
23
Kwema wakuu

Je, ninaweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva? Ili nipeleke sokoni zisiharibike, na zinachukua muda gani hadi kuiva zikiwa nje, ningependa kujua jinsi ya kuhifadhi.
 
Kwema wakuu he ninaweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva? Ili nipeleke sokoni zisiharibike, na zinachukua muda gan Hadi kuiva zikiwa nje, ningependa kujua jinsi ya kuhifadhi.
Ziwe hazijaivaa lakini zimekomaa, kwa kawaida nyanya ambazo zimekomaa si tatizo kuvuna,
 
Back
Top Bottom