kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Yaani hii kazi nilishawai ifanya hapo mwanzo na ilinilipa kiasi, lakini kwa sasa nipo mkoa mwingine baada ya miaka minne na ninatafakari kuanzisha tena. Lengo nifike level ya saluni kubwa lakini kwa sasa itaanza tu ya kawaida.
Sasa je, naweza fika level za kuwa milionea kupitia hii kazi? Kuhusu hii skills huwa nipo fresh tu. Nilianza hii kazi baada ya kumaliza chuo ikatokea dharura za kifamilia nikaipiga bei.
Je, naweza kua milionea kupitia kazi hii?