Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Tandika kunyoa Tsh mia tano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChaiTandika kunyoa Tsh mia tano.
Unaweza kuwa ombaomba na ukawa milionea. Unaweza kuwa mwizi na jambazi ukawa milionea.Yaani hii kazi nilishawai ifanya hapo mwanzo na ilinilipa kiasi, lakini kwa sasa nipo mkoa mwingine baada ya miaka minne na ninatafakari kuanzisha tena. Lengo nifike level ya saluni kubwa lakini kwa sasa itaanza tu ya kawaida.
Sasa je, naweza fika level za kuwa milionea kupitia hii kazi? Kuhusu hii skills huwa nipo fresh tu. Nilianza hii kazi baada ya kumaliza chuo ikatokea dharura za kifamilia nikaipiga bei.
Je, naweza kua milionea kupitia kazi hii?
Lengo nifike level ya saluni kubwa
Kama huko temeke uswahil wana nyoa jero tena kuna kipaza sauti njeMake sure hauweki Saloon yake maeneo ya uswahilini Mkuu.
USWAZI WATU WANASHINDANA BEI, KUNA WATU WANANYOA HADI JERO.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wakuitwa CuttingMaster Barbarshop yule analaza 2M+ kwa mwezi Ikiwa na Scrub mashine za kisasa wireless kabisa,Kiti cha kisasa,wadada wazuri wa Scrub wengine wanaweka na Massage palor apo ndo wanakamata wateja kabisaaa..Utapiga hela mpaka uchizi..ila ikiwa ni kunyoa tu ukimaliza unamfuta mteja na kupaka spirit na poda utachelewa sana