kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Nipe uchanganuzi mkuu mana nahisi hii kazi ni ya kijungujiko hiviNdio, unaweza.
Kenge asokua na mkiaKuna wakuitwa CuttingMaster Barbarshop yule analaza 2M+ kwa mwezi Ikiwa na Scrub mashine za kisasa wireless kabisa,Kiti cha kisasa,wadada wazuri wa Scrub wengine wanaweka na Massage palor apo ndo wanakamata wateja kabisaaa..Utapiga hela mpaka uchizi..ila ikiwa ni kunyoa tu ukimaliza unamfuta mteja na kupaka spirit na poda utachelewa sana
Kuna akina pasco yaani kastyle simple tu ni elfu 70Kuna wakuitwa CuttingMaster Barbarshop yule analaza 2M+ kwa mwezi Ikiwa na Scrub mashine za kisasa wireless kabisa,Kiti cha kisasa,wadada wazuri wa Scrub wengine wanaweka na Massage palor apo ndo wanakamata wateja kabisaaa..Utapiga hela mpaka uchizi..ila ikiwa ni kunyoa tu ukimaliza unamfuta mteja na kupaka spirit na poda utachelewa sana
Tatizo lako linaanzia hapa,Nipe uchanganuzi mkuu mana nahisi hii kazi ni ya kijungujiko hivi
Noma!Kuna akina pasco yaani kastyle simple tu ni elfu 70
Aha sawaKuna wakuitwa CuttingMaster Barbarshop yule analaza 2M+ kwa mwezi Ikiwa na Scrub mashine za kisasa wireless kabisa,Kiti cha kisasa,wadada wazuri wa Scrub wengine wanaweka na Massage palor apo ndo wanakamata wateja kabisaaa..Utapiga hela mpaka uchizi..ila ikiwa ni kunyoa tu ukimaliza unamfuta mteja na kupaka spirit na poda utachelewa sana
Sio kama sina confidence, ni sina ufahamu wa kutosha na shuguli hii on how it brings out moneyTatizo lako linaanzia hapa,
Huna confidence ya unachoenda kukifanya,mafanikio huanza na mind set yako na kujiamimi.
Wee!Kuna akina pasco yaani kastyle simple tu ni elfu 70
Aisee.Fanya zaidi ya baba shop.
Weka huduma zinazoenda na baba shop.
Jifunze future baba shop services.
Baba shop moja inaweza kuwa hata na wafanyakzi 50 kama unataka kuwa millionaire
Ni kweli, watu wanauza mazingira ya kuvutia hata kabla hujanyolewa.Noma!
Wamewekeza peza nyingi lakini
Nakubali mkuukazi haitokufanya kuwa millionea Ila ule mtaji utaopata kutoka saloon ya kwanza ukiutumia kuwekeza katika sehemu mbalimbali hapo ndo utaitwa millionea.
Job its just a steppingstone and not really success but if you want to be multimillionaire all you need is to invest in various assets
Labda iwapo pia ukiwa Punda mbeba sembeš¤£Yaani hii kazi nilishawai ifanya hapo mwanzo na ilinilipa kiasi, lakini kwa sasa nipo mkoa mwingine baada ya miaka minne na ninatafakari kuanzisha tena. Lengo nifike level ya saluni kubwa lakini kwa sasa itaanza tu ya kawaida.
Sasa je, naweza fika level za kuwa milionea kupitia hii kazi? Kuhusu hii skills huwa nipo fresh tu. Nilianza hii kazi baada ya kumaliza chuo ikatokea dharura za kifamilia nikaipiga bei.
Je, naweza kua milionea kupitia kazi hii?
Aisee jero?Make sure hauweki Saloon yake maeneo ya uswahilini Mkuu.
USWAZI WATU WANASHINDANA BEI, KUNA WATU WANANYOA HADI JERO.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue