Naweza kuwa milionea kupitia kazi ya saluni ya kiume (barbershop)?

Biashara yoyote ukijituma ukaacha mambo mengine yote ya kidunia, ukaachana na washikaji sijui ndugu, yaani wewe macho yote kwenye hela tu na unaangalia hela tu na miradi yako basi utatoboa ila
Uwe na hela na huna furaha au uwe na furaha ila maisha ya kawaida, chaguo ni lako
 
Unaweza kuwa ombaomba na ukawa milionea. Unaweza kuwa mwizi na jambazi ukawa milionea.

Niulize tu, Lengo lako ni kuwa milionea au lengo lako ni kuwa Mfanyabisahara au mjasiriliamali.
Lengo nifike level ya saluni kubwa



 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…