Naweza kuwa na namba ya utambulisho ya mlipa kodi/TIN bila kuwa na biashara?

Na tunataka kila mwananchi awe na TIN tena tutaweka kwenye vitambulisho vya utaifa ili tujue ni watu gani wanafanya biashara, mzunguko wao wa biashara, wanafanyia wapi nk pia itasaidia kwenye usalama wa wafanyabiashara.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Asante ndugu,kwahiyo naweza kuwa nayo busness TIN sasa ila nikaitumia kwenye biashara mwakani?
 
Eeh unaruhusiwa tena kama una namba ya NIDA unaweza omba online
Asante ndugu yangu, ila pale online kuna sehemu ya kuonyesha unaanza lini biashara yako vipi usipoanza muda ulioutaja pia? Nikiwa na maana mtu akianza nje ya muda aliotaja?
 
Asante ndugu yangu, ila pale online kunasehemu ya kuonyesha unaanza lini biashara yako vipi usipoanza muda ulioutaja pia? Nikiwa na maana mtu akianza nje ya muda aliotaja?
Jiongeze dogo
 
Asante ndugu yangu, ila pale online kuna sehemu ya kuonyesha unaanza lini biashara yako vipi usipoanza muda ulioutaja pia? Nikiwa na maana mtu akianza nje ya muda aliotaja?
Tunapiga fine tu,hatukufungi..
 
Naweza kuwa na namba ya utambulisho ya mlipa kodi/TIN pasi kuwa na biashara/ kuitumia?
Jua kwanza kirefu cha (TIN) Taxpayer Identification Number,namba ya mlipa kodi,huwezi kumiliki tu TIN na ukakaa nayo kama line ya simu wakati hulipi kodi, siku utakaposajili TIN wewe ndo mlipa kodi tokea hapo,na ole wako ukaenayo miaka kadhaa bila kulipa kodi au uipoteze itakula kwako,TRA wanakukokotolea kodi kuanzia day one ya usajili kwenye mtandao na kwa serikali hii utakuwa na bahati kama hujabambikiziwa kesi ya utakatishaji fedha
 
😀😀😀😀😀kweli wewe 900 itapendeza zaidi
 
Back
Top Bottom