- Thread starter
- #21
Ndugu 900 TIN inaku identify kuwa ueingia kwenye mfumo wa kulipa kodi na unacholipia kodi ni biashara yako kama ni TIN ya biashara na itaanza kutambulika baada ya kufata taratibu za kupata leseni ya biashara then katika utaratibu huo sasa ndipo tra watakukadiria kiwango cha kodi katika biashara yako na sio kwenye TIN yako, TIN ni way towards owning a busness kama ni TIN ya biasharaJua kwanza kirefu cha (TIN) Taxpayer Identification Number,namba ya mlipa kodi,huwezi kumiliki tu TIN na ukakaa nayo kama line ya simu wakati hulipi kodi, siku utakaposajili TIN wewe ndo mlipa kodi tokea hapo,na ole wako ukaenayo miaka kadhaa bila kulipa kodi au uipoteze itakula kwako,TRA wanakukokotolea kodi kuanzia day one ya usajili kwenye mtandao na kwa serikali hii utakuwa na bahati kama hujabambikiziwa kesi ya utakatishaji fedha