Naweza kuwa na namba ya utambulisho ya mlipa kodi/TIN bila kuwa na biashara?

Ndugu 900 TIN inaku identify kuwa ueingia kwenye mfumo wa kulipa kodi na unacholipia kodi ni biashara yako kama ni TIN ya biashara na itaanza kutambulika baada ya kufata taratibu za kupata leseni ya biashara then katika utaratibu huo sasa ndipo tra watakukadiria kiwango cha kodi katika biashara yako na sio kwenye TIN yako, TIN ni way towards owning a busness kama ni TIN ya biashara
 
Unaposajiliwa kama mlipa kodi ndio unaweza kuwa na namba za utambulisho za TIN. hivyo hivyo huwezi kuwa na hio tin namba kama hakuna kodi unayolipa serikalini kama kodi/mapato nk.
 
Hivi unajua leseni ya biashara na TIN kipi kinatangulia ili upate kimojawapo kati ya hizi,afisa biashara hawezi kupa leseni bila TRA kukufanyia makadirio kwanza na tena uende na Tax-clearance kwa afisa biashara sijui huko kwenu,na eti huwezi kuwa na TIN tu bila kuwa mlipa kodi hakuna kitu kama hicho,na huo ni mtego ambao TRA hawezi kuwaambia Watanzania
 
Unaweza kupata non business TIN, the ukiwa tayari kufanya biashara unaenda TRA na iyo non business TIN, the taratibu zingine za makadirio zitaanzia apo.
 
Ndiyo unaweza... na inapaswa uwe nayo...

Ngoja waje kukupa muongozo...



Cc: mahondaw
 
Nilitaka mwambia hilo hilo swala kuwa asikimbilie kuwa na TIN namba na hata hajajua hiyo biashara inalipaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…