Unajuaje ni mwanamke? Unamjua gilesi wewe?Unawezaje kuongea hvyo kwa mwanamke mwenzako??[emoji15] [emoji15]
Hbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.
Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?
Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.
Nisaidieni, je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?
Nawasilisha kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu.
Monicca nilikuambia uje PM toka kipindi cha zile Epsodes zako za 1,2,3 na sasa hii ni ya 4 kama sikosei.Hbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.
Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?
Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.
Nisaidieni, je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?
Nawasilisha kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu.
Hayo ni mapepo ni pm nikuombeeHbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.
Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?
Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.
Nisaidieni, je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?
Nawasilisha kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu.
Kwani mimba ina weza ingia baada ya miaka mingapi ya tendo husika? Acha kukurupuka kama hujui kaa kimya..maana hata mpumbava ktk ukimya wake huonekana mwenye hekima!
Sijakutuma usome ni kiherehere chako kaa pembeni acha wenye meno waendelee..ufahamu wako wenyewe hautoshi kukufanya uishi..anyway nenda kwa amani ..Mpumbavu ni wewe unaedanganya watu humu ukidhani wote wajinga ka wewe. Speed moja ya kijiiinga haya tushakujua sasa na tunakupa attention, anything else?. Wiki ijayo utasema umeshazaa baada ya dalili za mimba za wiki moja! Clown!
Aliyekwambia usome nani? Una kiherehere kama kuku anataka kutaga...tupishe siye twende zetuTumechoka kusoma upuuzi wako. Juzi ulisema shahawa zinakuunguza, leo unatuletea habari za ujauzito. Tuondolee ujinga wako wa chura ananesanesa.