Naweza kuwa nina mimba?

Naweza kuwa nina mimba?

Hivi laboratory za street, dispensary, hospitals na watumishi wanao toa health counseling hasa physician huwazi kuwaona mpaka ulete uzi JF na pia pharmacy pia mbona kuna pregnancy test hivyo vyote vipo kwa ajili ya nani? Huku jf unatafuta nini au ndo kujionyesha ndo umegegedwa sifa za kijinga hizi au ndo kujishebedua kuna watu wana boa jamani yani wewe kila wakati na mada za kutafuta attention za viwers grow up na jiheshimu...
 
Itakuwa pepo linakunyemelea. Fanya maombi mapema.
 
Ondoa izo dhana katika mind yako kwanza.

Then masika imeisha so hiki ndio kipindi cha kusikilizia matokeo ya mvua mvua.

+mimba iyo mpendwa.

Muone daktari.
 
Hahaha
Moniccca is back, nakunywa soda hapa uku nikisubir meng zaid
 
wadau wa jf msiyemtaka kafika si mwingne bali ni mtunzi wa story za kusisimua...moniiiy
 
Hbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.

Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?

Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.

Nisaidieni, je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?

Nawasilisha kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu.

Tumechoka kusoma upuuzi wako. Juzi ulisema shahawa zinakuunguza, leo unatuletea habari za ujauzito. Tuondolee ujinga wako wa chura ananesanesa.
 
Inaonesha ulim-cheat huyu jamaa. Juzi tu leo umeshaanza kutaapika. Sio hivyo monii, ungekaa hata kamwezi kamoja. Hata kama jamaa alitoka kifungoni, hawezi kuwa na nguvu kiasi hicho. Niliangalia juzi kati, mwezi ulikuwa mchanga, hiyo ni minyoo inakusumbua sio mimba, usianze kumpa tumaini halafu ukute ni minyoo tu atakufukuzilia kwenyu.
Usijihangaishe kwenda kujipima kwani hata ikijakuwa ni mimba sasa si ushaolewa? Hofu ya nini? Ukiisha olewa kazi ni moja tu. Hakuna kulala wala kuvaa pichu, akija akukute duka wazi ajimegee Kuanzia sebuleni hata jikoni na chooni. Si mlipewa leseni?
 
Hbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.

Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?

Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.

Nisaidieni, je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?

Nawasilisha kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu.
Monicca nilikuambia uje PM toka kipindi cha zile Epsodes zako za 1,2,3 na sasa hii ni ya 4 kama sikosei.
Please ninaomba kwa ukarimu wote uje PM.
 
Hayo ni mapepo ni pm nikuombee
 
Kwani mimba ina weza ingia baada ya miaka mingapi ya tendo husika? Acha kukurupuka kama hujui kaa kimya..maana hata mpumbava ktk ukimya wake huonekana mwenye hekima!

Mpumbavu ni wewe unaedanganya watu humu ukidhani wote wajinga ka wewe. Speed moja ya kijiiinga haya tushakujua sasa na tunakupa attention, anything else?. Wiki ijayo utasema umeshazaa baada ya dalili za mimba za wiki moja! Clown!
 
Sijakutuma usome ni kiherehere chako kaa pembeni acha wenye meno waendelee..ufahamu wako wenyewe hautoshi kukufanya uishi..anyway nenda kwa amani ..
 
Hivi huyu kiumbe kama siku unabahatika kuonana nae unamwambia nini?.waiting for the next episode tu.
 
Tumechoka kusoma upuuzi wako. Juzi ulisema shahawa zinakuunguza, leo unatuletea habari za ujauzito. Tuondolee ujinga wako wa chura ananesanesa.
Aliyekwambia usome nani? Una kiherehere kama kuku anataka kutaga...tupishe siye twende zetu
 
Monicca nilikuambia uje PM toka kipindi cha zile Epsodes zako za 1,2,3 na sasa hii ni ya 4 kama sikosei.
Please ninaomba kwa ukarimu wote uje PM.
Nimekuja Mara nyingi ukanichunia
 
Back
Top Bottom