Mulama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,036
- 1,808
Nimerudi nyumbani kwangu nikakuta binti yangu wa chini ya miaka 14 anasoma gazeti la Risasi jumatano namba 818 lililotoka tarehe 20 hadi 22 Julai 2011.
Kwenye gazeti hilo nilikuta anasoma hadithi iliyoandikwa na mwandishi anayeitwa Kulwa mwaibale yenye kichwa cha habari mzee wa tinted -7.
Nilimnyanganya gazeti hilo kwakuwa si sehemu ya study ya masomo apaswayo kusoma nyumbani anapokuwa ametoka shule. Hata hivyo nilipoangalia alichokuwa anasoma kwenye hadithi hiyo kuna maneno yasemayo Kutokana na Kauli ya Leah mzee matata aligundua msichana huyo hakuwahi kukutana na vionjo kama alivyompatia, ndipo alipombetua na kumlaza kifudifudi yaani akawa anatazama bambataa lake. Kwakuwa mtoto wa kike alijaaliwa makalio flan hivi ya kubamba, mzee huyo akaanza kuyaminya taratibu mithili ya mtu aliyekuwa akiminya embe kwa lengo la kuchagua zilizoiva vizuri
Kuna maneno mengine yanasema kwakuwa mtoto wa mwenzako ni mkubwa mwenzako, Mzee Matata hakuwa na huruma alimsulubu Leah akasulubika kweli. Mwisho wa kandanda kitandani wote walinganganiana kama ruba na kutoa mihemko ya pamoja kuashiria walifika kilele cha mlima wa wapendanao
Yapo maneno mengi yaliyo offensive kuwekwa hadharani na kusomwa na kila lika hasa kwa magazeti ya kampuni ya global publisher inayokemea maadili mabaya kwa wasanii na watu wengine hapa nchini. Ndipo nikajiwa na wazo la kuomba ushauri je naweza kushitaki gazeti la Risasi, shigongo na kampuni ya global publisher kwa ku expose for gain maneno yanayoweza kuchochea mtoto wangu kuathirika ki maadili au sheria za Tanzania haziruhusu?