Cathy Diwani
Senior Member
- Feb 13, 2016
- 120
- 185
Salaam wana jukwaa,
Mimi ni mwanamke nina umri wa miaka 35. Nilizaa watoto watatu, mdogo ana miaka 8 sasa. Nilikuwa nikisumbuliwa sana na kisukari daktari akanifunga kizazi. Nimedhibiti kisukari kwa chakula na sasa sukari iko kawaida kwa miaka miwili sasa. Bado niko makini sana na vyakula, na afya yangu ni njema sana. Nafikiria kuongeza mtoto kama inawezekana.
Je, kuna utaalamu naweza kutumia kuzaa baada ya kuwa nilifunga kizazi? Kwa IVF itawezekana? Kama inawezekana, Tanzania hii huduma ipo? Na gharama zake zikoje? Ni zipi risk zake?
Asanteni sana,natumaini kupata msaada hapa, na ushauri pia ninapokea.
Cathy.