poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 453
- 175
Habari wanaJF naomba msaada je naweza kuzuia virus wasiingie ktk computer bila kutumia program yoyote ya antvirus? Naomba msaada wataalam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili usishambuliwe na virus fanya yafuatayo
1. usiunganishe kompyuta yako na internet
2. usitumie romovable media kama vile flash disk, simu, kamera, modem, cd na kadharika
Inawezekana sana tu.
1. usiconnect kwenye net
2. Usitumie flash ambayo inaingiliana computer nyingine.
3. Usiiexpose kwenye uwazi sana
4. Epukana na kuchomeka devises nyingine eg cm!
Ni kweli kabisa mkuu. Pia browsers kama Mozilla firefox inauwezo wa kudaka malwares. Na huwa inashauri u disable features fulani fulani za anti virus unayoitumia ili kupunguza msongamano (traffic) kwenye internet. Naamini kwani hakuna anti virus ambayo ina ufanisi 100%Install Linux au Ubuntu hapo hautohitaji Antvirus ya aina yeyote