DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Habari ya uzima,
Nina Mdogo wangu yupo chuo kikuu anasoma Education mwaka wa pili English na Kiswahili.
Kama mnavyojua changamoto ya Elimu yetu unaweza kutoboa Hadi chuo kikuu lakini bado ukawa haupo smart au competence katika kudadavua Mambo ya Maisha na career yako. Huyu Mdogo wang yeye ni wale wanaitwa Introvert watu wa kukaa ndani 24/7 so yeye akitoka chuo ni ndani . So mpaka Muda huu ameshindwa kutengeneza Networks na watu.
Sasa nachofahamu Muda huu Kupata ajira sio Jambo rahisi, nilitamani huyu Mdogo wangu wa kike aanze kujifunza masuala ya upambaji na catering kwa wakati mmoja .
Basi naomba Mtu anayejihusisha na hizi Mambo za upambaji na catering tuwasiliane ntampatia kitu ili Huyu Mdogo wangu siku za weekend kuanzia Friday to Sunday aweze jifunza hizo Kazi za mikono.
Huyu ndugu yangu wa kike she has 20 yrs na anapenda kujifunza.
Ahsante.