Naweza msaidiaje huyu Mdogo wangu wa kike?

Naweza msaidiaje huyu Mdogo wangu wa kike?

Habari ya uzima,

Nina Mdogo wangu yupo chuo kikuu anasoma Education mwaka wa pili English na Kiswahili.

Kama mnavyojua changamoto ya Elimu yetu unaweza kutoboa Hadi chuo kikuu lakini bado ukawa haupo smart au competence katika kudadavua Mambo ya Maisha na career yako. Huyu Mdogo wang yeye ni wale wanaitwa Introvert watu wa kukaa ndani 24/7 so yeye akitoka chuo ni ndani . So mpaka Muda huu ameshindwa kutengeneza Networks na watu.

Sasa nachofahamu Muda huu Kupata ajira sio Jambo rahisi, nilitamani huyu Mdogo wangu wa kike aanze kujifunza masuala ya upambaji na catering kwa wakati mmoja .

Basi naomba Mtu anayejihusisha na hizi Mambo za upambaji na catering tuwasiliane ntampatia kitu ili Huyu Mdogo wangu siku za weekend kuanzia Friday to Sunday aweze jifunza hizo Kazi za mikono.

Huyu ndugu yangu wa kike she has 20 yrs na anapenda kujifunza.

Ahsante.

Nenda kamuandikishe darasa pale mbuyuni, tuache slope
 
Muache asome kwanza amalize chuo, usije kumlundikia mambo ukamvuruga na chuo akafeli ikawa hasara.

Usiamini sana katika networks maana kuna watu wana ndugu zao wa damu kabisa ni wakubwa kwenye vitengo ila wanasota na kutafuta ajira, sembuse mtu baki?

Mkazanie kwenye masomo then akimaliza wakati anatafuta kazi ndio msupport kwa kile anachotaka kujifunza and mind you "biashara sio ya kila mtu" so usimforce kwa kile ambacho atakwambia hawezi kufanya...
Mtie moyo atapata tu ajira, usikate tamaa mapema.
Kama alifaulu masomo ya sayansi mwambie asipoteze muda ajiunge na vyuo vya kati faster asomee nursing, CO, n.k
Mkitaka kilimo na mifugo mnione hapa.
Majuto ni mjukuu.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Hizo kazi za upambaji zinahitaji mtu mwenye network kubwa sana, hivyo mfundishe kwanza namna ya kutengeneza network ya watu wenye potential
 
Back
Top Bottom