radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Huwa najishangaa sana hasa kwa upande wa vyakula,mboga na matunda
Nikianza na chakula chochote kitakachopikwa huwa nakula sina kile chakula ambacho lazima nikipate au nile ndipo nafsi yangu ifarijike mimi chochote kitakachopikwa vizur basi nakula.
Nikija upande wa mboga hivyo hivyo sina uchaguzi bado ntakula kasoro nguruwe tu upande wa nyama huwa sipendi na situmii kabisa lakin zile nyama halali kuliwa na binadamu ntakula lakin nashangaa kuna jamaa zangu utasikia mmoja anapenda sana samaki mwingine nyama ya ng'ombe mwingine kuku wakati kwangu ni tofauti huwa sina uchaguzi.
Nikija matunda bado sina uchaguzi wa tunda gani huwa special kwangu bado sina uchaguzi tunda ntakalo likuta ndilo ntakula sina uchaguzi sasa najiuliza naweza kuwa na tatizo kweli? Hapa najishangaa sana katika haya mambo sina uchaguzi wa vyakula wala matunda.