Naweza nikawa na tatizo gani hapa?

Naweza nikawa na tatizo gani hapa?

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
Huwa najishangaa sana hasa kwa upande wa vyakula,mboga na matunda

Nikianza na chakula chochote kitakachopikwa huwa nakula sina kile chakula ambacho lazima nikipate au nile ndipo nafsi yangu ifarijike mimi chochote kitakachopikwa vizur basi nakula.

Nikija upande wa mboga hivyo hivyo sina uchaguzi bado ntakula kasoro nguruwe tu upande wa nyama huwa sipendi na situmii kabisa lakin zile nyama halali kuliwa na binadamu ntakula lakin nashangaa kuna jamaa zangu utasikia mmoja anapenda sana samaki mwingine nyama ya ng'ombe mwingine kuku wakati kwangu ni tofauti huwa sina uchaguzi.

Nikija matunda bado sina uchaguzi wa tunda gani huwa special kwangu bado sina uchaguzi tunda ntakalo likuta ndilo ntakula sina uchaguzi sasa najiuliza naweza kuwa na tatizo kweli? Hapa najishangaa sana katika haya mambo sina uchaguzi wa vyakula wala matunda.
 
Brother Mimi cwez kula kabsa bila kupata Serengeti lite 3.....yaani ncpopata hamu ya kula inakata hata unpe nn asee cwez had nashndwa kujielewa at....namm nna tatzo?
 
Hapa mkuu unaweza kuwa na tatizo ngoja waje watalaam ila mimi sasa nafagia tu sina option mkuu
 
Brother Mimi cwez kula kabsa bila kupata Serengeti lite 3.....yaani ncpopata hamu ya kula inakata hata unpe nn asee cwez had nashndwa kujielewa at....namm nna tatzo?
Unasumbuliwa na UBIMWI(Upungufu wa bia mwilini)
 
Huwa najishangaa sana hasa kwa upande wa vyakula,mboga na matunda

Nikianza na chakula chochote kitakachopikwa huwa nakula sina kile chakula ambacho lazima nikipate au nile ndipo nafsi yangu ifarijike mimi chochote kitakachopikwa vizur basi nakula.

Nikija upande wa mboga hivyo hivyo sina uchaguzi bado ntakula kasoro nguruwe tu upande wa nyama huwa sipendi na situmii kabisa lakin zile nyama halali kuliwa na binadamu ntakula lakin nashangaa kuna jamaa zangu utasikia mmoja anapenda sana samaki mwingine nyama ya ng'ombe mwingine kuku wakati kwangu ni tofauti huwa sina uchaguzi.

Nikija matunda bado sina uchaguzi wa tunda gani huwa special kwangu bado sina uchaguzi tunda ntakalo likuta ndilo ntakula sina uchaguzi sasa najiuliza naweza kuwa na tatizo kweli? Hapa najishangaa sana katika haya mambo sina uchaguzi wa vyakula wala matunda.

Kwani nguruwe ana haramu gani isiliwe na binadamu? Ila kwa mtizamo wa haraka haraka inaonekana wewe una dalili za kuwa nyani ama kima.
 
Back
Top Bottom