naweza nisizae?

naweza nisizae?

mama lubango

Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
56
Reaction score
8
napata hedhi almost mara 3 kwa mwaka na ikitoka inatoka nying sana kias kwamba pakt moja ya ped naitumia cku moja! halaf ndo kwanza am 21yrs nisaidien jaman
 
pole sana mama lubango. nadhani hili ni tatizo linalowasumbua wasichana wengi hasa kwenye ulimwengu huu wa sasa. hebu google 'ovarian cysts' uichimbe kidogo,huenda una dalili zake. inatibika ila unahitaj kuonwa na dr bingwa wa wanawake na kufanyiwa kipimo. endapo hutamuona dr mapema,inaweza kukuletea madhara. kila la kheri.w
 
Jaribu kuonana na gynochologist pale Agakhan Hospital ili akucheki. Ni kitu unachotakiwa kukitafutia ufumbuzi mapema iwezekanavyo vinginevyo yaweza kukuletea athari kubwa mbeleni..
 
sasa kama wewe ni mama lubango mbona unalalamikia uzazi tena? Au unataka wa pili?
 
Ni matatizo madogo za homones au labda tatizo lingine!kimsingi nenda kwa wataalam wa uzazi watakushauri zaidi!Your stil young!you can have the baby!
 
sasa kama wewe ni mama lubango mbona unalalamikia uzazi tena? Au unataka wa pili?
Inawezekana ni jina tu, lakini hata hivyo nimegundua baadhi ya watu wanaotoa shida zao humu jamvini wengine huwa hawana shida yoyote, isipokuwa huwa wanandika tu. But tuendelee kuwasaidia maana hatuwezi kujua yupi ana shida yupi anataka kufurahisha watu.
 
sasa kama wewe ni mama lubango mbona unalalamikia uzazi tena? Au unataka wa pili?
<br />
<br />
its just a matter of a username my dia... lubango anaweza kuwa ni mtoto wa ndug yang or may b a man i love!!!
 
unapata hedhi mara tatu kwa mwaka, tangu umeanza ur ukubwa or? ulianza ukiwa na age gan?interval ni kila baada ya miez? Z it associated with severe pain during menstruation? Umeshawahi fanyiwa any tritment/procedure in ur reproductive system?
 
ka ni jina la a man u love,lubango mwenyewe umemweleza lakin kabla ya kuleta hapa jamvini...............
 
Naomba uni pm nahitaji kukutibu tatizo lako sio dogo kama mfumo uliolileta! Unataka kujua madhara ya tatizo lako badala ya kulitibu tatizo?
 
unapata hedhi mara tatu kwa mwaka, tangu umeanza ur ukubwa or? ulianza ukiwa na age gan?interval ni kila baada ya miez? Z it associated with severe pain during menstruation? Umeshawahi fanyiwa any tritment/procedure in ur reproductive system?
<br />
<br />
nilianza wen i was 13yrs naweza nicpate 4 6months then ikawa regular 4 3mnths halaf inakatika tena kwa miez kadhaa. Ila huwa cpat maumivu makal sana ya 2mbo. Toka nivunje ungo cjawah kabsa kupata hedh kwa miez yote 12
 
Back
Top Bottom