naweza pata kioo cha laptop toshiba

naweza pata kioo cha laptop toshiba

bpouz

Member
Joined
May 26, 2008
Posts
38
Reaction score
10
habar zenu wadau. aisee wAp naweza kupata kioo cha laptob aina ya toshiba tecrA 8200 changu kimevunjika tafadhar mwenye idea anijuze nawasilisha.
 
Kwani kwenye laptop kuna kioo?
 
habar zenu wadau. aisee wAp naweza kupata kioo cha laptob aina ya toshiba tecrA 8200 changu kimevunjika tafadhar mwenye idea anijuze nawasilisha.

Dah pole hata mm laptop yangu imevunjika kioo natafuta pia
 
Back
Top Bottom