Naweza pata lain ya airtel ya 70k, 10mbps

Naweza pata lain ya airtel ya 70k, 10mbps

Haiwezekani mkuu
inawezekana labda wewe huwez lain za kifurush cha 110k + zinauzwa 7k router ku unlock router 10k software version lazma iwe chin ya 4.0.1 kama huwez kaa pemben angalia router nime unlock kabisa lain za kifurush cha 50 mbps had 120mbps zinauzwa 100k (kile kifurush cha 150k unakipata kwa 50k ) na unazipata vzr kabisa router lazma iwe x25 au x28 kama wewe huwez ni wewe nasubr wanao weza nasema hvo coz nimeona inawezekana
 
Attachments

  • IMG_8064.jpeg
    IMG_8064.jpeg
    160.7 KB · Views: 23
  • IMG_8065.jpeg
    IMG_8065.jpeg
    144.8 KB · Views: 20
kama Tangazo linavo jieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurush cha 70k 10Mbps router ninayo je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router
kwa voda wanachofanya ni ku associate line na imei namba za router, line lazima isajiliwe na router yake, na ukiiweka kwenye router ingine haifanyi kazi, sasa sijui mitandao mingine kama airtel
 
kwa voda wanachofanya ni ku associate line na imei namba za router, line lazima isajiliwe na router yake, na ukiiweka kwenye router ingine haifanyi kazi, sasa sijui mitandao mingine kama airtel
Staki za vodacom hzo ni post paid kama lain za Tigo yan usipo lipa deni unalikuta pale pale na usipo lipa lina ongezeka sheria kibao + eneo nalokaa Airtel inafanya kaz vzr Tigo lain zake za router zinasoma kwenye simu vzr kabisa tatzo bei ya router ndo tatzo na wana limit ya GB kwa siku
 
Kama tangazo linavyojieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurushi cha 70k 10Mbps, router ninayo. Je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router!
Hivi line zote zinawezaje kupata vifurushi vya Mbps
 
Nimejaribu kusearch mda sana sipati exactly hizo comment zilipo Scars Kingsmann wanaweza wakanisaidia.
Nadhani hapo Kingsmann atakuwa na jibu sahihi kwasababu yeye ni mdau wa hiyo package na juzi hapo kafunga mwaka akiwa mteja wa hicho kifurushi

Mimi hata napochukua Router nilikuwa na malengo ya kupata hicho kifurushi cha 70K.

Jamaa wa Airtel aliyeniletea Router aliniongopea kuwa hata nikilipia 110K baada ya kifurushi kuisha nitaweza kununua kifurushi cha 70K.

Tulikuwa wawili tukachukua Router mbili zote tukalipia kifurushi cha 110K tukiamini kuwa baada ya hapo kifurushi kitachofuata tunanunua kwa 70K

Lakini haikuwa hivyo.

Mwenzangu mwezi uliofuata hakuweza kulipia, mimi nilikuwa nashea na majirani zangu hivyo walikuwa wananiungia, nikaweza kulipia tena 110K na ndio ikawa hivyo mpaka nikazoea.

Miezi kama mitatu nyuma nilipigiwa na Airtel kuwa Router ya jamaa yangu haipo active ni zaidi ya miezi 7 hajawahi kuilipia.

Wakataka kujua shida ni nini, nikawaambia approach ambayo alipewa na mtoa huduma yenu ilikuwa ni ya uwongo hivyo jamaa baada ya kutoona kifurushi cha 70K ikabidi aache kulipia.

Wakaniambia kwa hiyo tuki downgrade hicho kifurushi kuwa cha 70K ataweza kulipia? Nikawaambia ndio.

Wakasema basi tunatuma ripoti kwa njia ya email ili wai-downgrade hiyo Router mpate access ya kifurushi cha 70K.

Zikapita wiki mbili nikajaribu kuangalia kwenye system kama kile kifurushi kipo visible lakini hakikuwepo. Nikamrejea upya yule customer care akasema yeye ndio atayenipigia kunipa mrejesho kwasababu kuna foleni za watu wengi ambao wanahitaji kufanyiwa hiyo service.
 
kumbe nyie mlichukua na mkalipa 110k mm nilidhan kilikuwepo kikapotea maana jamaa aliandika hv na quote (Kulikua na watu wanalalamika baada ya muda kifurushi cha 70K kinaondoka kwa Airtel,)
IMG_8288.jpeg
 
kumbe nyie mlichukua na mkalipa 110k mm nilidhan kilikuwepo kikapotea maana jamaa aliandika hv na quote (Kulikua na watu wanalalamika baada ya muda kifurushi cha 70K kinaondoka kwa Airtel,)
View attachment 3117897
Ipo na hio ilikuwa inatolewa kama trial nimesahau mtu kalipa 70K kikaja kikapotea, iliwakuta watu ambao hawakununua router, nikikaa vizuri nitasearch kwenye ule uzi.
 
Nimejaribu kusearch mda sana sipati exactly hizo comment zilipo Scars Kingsmann wanaweza wakanisaidia.
Hii iliwatokea watu waliosajiliwa kwenye kifurushi cha Enteprise/Business huku wakiahidiwa kwamba baada ya mwezi wataweza kuwa na access na kifurushi cha Retail/Home.

Enterprise vifurushi vinaanzia 110K ambayo wanakupa 30Mbps per month. Hapa haulipii Router, wanakupa bure. Ila hautakaa upate access ya vifurushi vya chini ya hapo.

Retail vifurushi vinaanzia 70K ambayo wanakupa 10Mbps per month. Hapa Router unailipia 200K.

Swali la kama unaweza sajili line tu kama una Router yako sina uhakika kwa sasa, nimemuuliza agent aliyenisajilia, ngoja tusubiri jibu lake.

Screenshot_2024-10-07-19-26-55-036_com.whatsapp-edit.jpg
 
inawezekana labda wewe huwez lain za kifurush cha 110k + zinauzwa 7k router ku unlock router 10k software version lazma iwe chin ya 4.0.1 kama huwez kaa pemben angalia router nime unlock kabisa lain za kifurush cha 50 mbps had 120mbps zinauzwa 100k (kile kifurush cha 150k unakipata kwa 50k ) na unazipata vzr kabisa router lazma iwe x25 au x28 kama wewe huwez ni wewe nasubr wanao weza nasema hvo coz nimeona inawezekana
Je laini za Halotel (unlimited) una access nazo? Je ni tzs ngapi unauza?
 
Back
Top Bottom