Naweza pata lain ya airtel ya 70k, 10mbps

Naweza pata lain ya airtel ya 70k, 10mbps

inawezekana labda wewe huwez lain za kifurush cha 110k + zinauzwa 7k router ku unlock router 10k software version lazma iwe chin ya 4.0.1 kama huwez kaa pemben angalia router nime unlock kabisa lain za kifurush cha 50 mbps had 120mbps zinauzwa 100k (kile kifurush cha 150k unakipata kwa 50k ) na unazipata vzr kabisa router lazma iwe x25 au x28 kama wewe huwez ni wewe nasubr wanao weza nasema hvo coz nimeona inawezekana
Mhusika anahitaji line za vifurushi vya 70k sio za enterprise zenye kifurushi kidogo cha 110k

Kuhusu ku unlock router software version inabidi isizidi 4.0.1, sio iwe chini ya 4.0.1
 
Kama tangazo linavyojieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurushi cha 70k 10Mbps, router ninayo. Je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router!
Ruta huwa ni bure kwa vifurushi vya 110,000 na kuendelea, ukitak kupata bando la elf 70 inabidi ulipie gharama ya router kwa laki 2

Wamefanya hivyo kwasababu kuna watu wanakimbilia vifurushi vya 110k ili wapewe router bure baada ya hapo wanataka kuizunguka system wasajiliwe huduma ya elf 70 kwa kisingizio wana router,
 
Tanzanite255 kwa harakaharaka ni kwamba haiwezekani kupata line tu bila router.

Huyu agent anazunguka sana lakini uhalisia ndiyo huo. Inavyoonekana ili agent aweze kukuletea huduma ni lazima apewe full package ya router na line yake huko ofisini kwao.

Screenshot_2024-10-07-21-08-27-440_com.whatsapp-edit.jpg
 
Kama tangazo linavyojieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurushi cha 70k 10Mbps, router ninayo. Je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router!
Nakushauri kwenye vifaa vya mawasiliano achana na janja janja. Technolojia imekuwa kukupata ni rahisi sana. Achana na vitu vya kufoji au wizi. Fikiri umenunua line ya mtu afu kumbe kuna wizi ulifanyika mahala hiyo device ikaibiwa tena ukute wizi wenyewe ni wakutumia silaha, tena ukute kuna hadi mauaji.

U aweza kujikuta kwenye kesi mbaya ukajuta
 
ASANTEN WANA JF NIMESHA IPATA HATA IKIFUNGWA SIJALI NTAKUA NIMETUMIA TUMIA HATA MWEZ NIMESHA LIPIA KABISA INASOMA VZR KABISA
 
Tuna unlock Router za airtel 5g (Models: ZLT x25pro, x25A, x28, x28pro) kwa gharama ya Tsh 10,000 tu. Nicheck whatsapp LINK. Malipo baada ya kazi.
 
Huko unakoulizia ndio watu wanako kukimbia.

Huyo alikuwa ni mtumiaji wa Halotel kuna kitu kimemkuta na ndio maana anatafuta line ya Airtel yenye access ya 10Mbps
Umejuaje? Hata mm inanipotezea hela zangu balaa, siwezi angalia Netflix tena, browser tu ya Chrome kufunguka ni shida, sijui nini shida.
 
Tanzanite255 kwa harakaharaka ni kwamba haiwezekani kupata line tu bila router.

Huyu agent anazunguka sana lakini uhalisia ndiyo huo. Inavyoonekana ili agent aweze kukuletea huduma ni lazima apewe full package ya router na line yake huko ofisini kwao.

View attachment 3118137
Huyo jamaa miyeyusho yani utoe 270K halafu uishie kupewa line peke yake?

Line uuziwe 270K, hata line ya uwakala haiuzwi bei ghali kiasi hicho
 
Huyo jamaa miyeyusho yani utoe 270K halafu uishie kupewa line peke yake?

Line uuziwe 270K, hata line ya uwakala haiuzwi bei ghali kiasi hicho
Huyu inaonekana hajajua kona kona nyingi..
 
Back
Top Bottom