Mhusika anahitaji line za vifurushi vya 70k sio za enterprise zenye kifurushi kidogo cha 110kinawezekana labda wewe huwez lain za kifurush cha 110k + zinauzwa 7k router ku unlock router 10k software version lazma iwe chin ya 4.0.1 kama huwez kaa pemben angalia router nime unlock kabisa lain za kifurush cha 50 mbps had 120mbps zinauzwa 100k (kile kifurush cha 150k unakipata kwa 50k ) na unazipata vzr kabisa router lazma iwe x25 au x28 kama wewe huwez ni wewe nasubr wanao weza nasema hvo coz nimeona inawezekana
Kuhusu ku unlock router software version inabidi isizidi 4.0.1, sio iwe chini ya 4.0.1