Naweza pata maambukizi ya VVU kwa njia hii?

Naweza pata maambukizi ya VVU kwa njia hii?

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habarini ndugu zangu!

Nina tabia ya kunyonya matiti wakati wa kujaminiana tena hupenda kuzing'ata ng'ata chuchu hivii kwa mtindo wa kumtekenya mwenzi wangu wakati wa kumuandaa. Japokua niko makini sana katika matumizi ya kondom.

Swali ni je naweza pata maambukizi ya ukimwi kwa kufanya hivi?
 
Habarini ndugu zangu,

Acha uasherati kijana, unanyonya na midevu yako kwani wewe mtoto? hayo manyonyo ni kwa ajili ya mtoto wa huyo mwenzako na sio wewe.

Halafu unakubali kufanya ngono na mtu usiye na uhakika na afya yake!
Labda utuambie je huyo mpenzi wako ana maambukizi ya virusi vya ukimwi hadi uulize kama unaweza kuambukizwa?
 
Mie mwenyewe napenda kunyonya.
Sijui yule Dada anaekuja next week ni mwathirika ama laa
 
Umuandae mpenzi wako ili akusaidie nini wakati hujampima ukimwi??? Umfikishe kileleni ili upate faida gani,??? Mwanamke kama hujampima ukimwi wewe piga pumbu amsha,matatizo mengine ni ya kujitakia pumbafuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumn'gata matiti kunaweza kukasambaza VVU iwapo kutakuwa na mchubuko wa ngozi na kuruhusu damu iingie mdomoni wakati wa kumnyonya. Kwa kifupi pia jua kwamba VVU kusambaa kupitia mate ni nadra au haiwezekani kabisa.

Ila shida inakuja iwapo ni damu , damu ndio tatizo. Ila pia kuna chancce kwamba mwanaume aliona HIV akipigia bao mdomoni mwa mwanamke ambae ni HIV negative anaweza akasambaza.

Kwa maelezo zaidi tembelea hii tovuti; inakuelekeza njia hatarishi zote za kusambaza HIV

CDC- HIV transmission
 
Back
Top Bottom