Naweza pata simu dukani kwa bajeti ya 200k?

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
560
Iwe samsung, Tecno, Sony, Nokia kwa hizi brand yenye camera wauzaji mnicheki humu 0620314884
 
iwe samsung ,tecno,sony,nokia kwa hizi brand yenye camera wauzaji mnicheki humu 0620314884

Jiongeze kidogo, hadi angalau 350,000. Utapata simu nzuri. Kwa bajeti ya 200,000/ huwezi kupata simu mpya ambayo ni nzuri.
 
Hata infinix wereva hapati?

Tatizo atapata simu zenye RAM ya 1GB ambapo hiyo itakuwa kero sana kwake. Ila kama anaweza kucheki maduka ya simu used anaweza kupata mtumba angalau unaoridhisha
 
Security, durability etc
Mtu akiongelea security kwenye smartphone halafu akaweka mfano wake wenye Iphone anaonekana kabisa uwezo wake wa kuelewa mambo una mushkeli.

Kwenye ulimwengu wa teknolojia ikiwemo simu hakuna guarantee ya security, ni wajinga tu wanaendelea kudanganywa ama kutokujua kuhusu hilo.

Durability maana yake nini? Ama unaandika tu.
 

Ha ha mbona umemshukia kama mwewe..
Kweli security kibongo bongo ni uongo..

Nadhan durability alimaanisha simu inaweza kudumu kwa muda mtefu, kwa case ya iphone angalau zinakaa.
 
Ha ha mbona umemshukia kama mwewe..
Kweli security kibongo bongo ni uongo..

Nadhan durability alimaanisha simu inaweza kudumu kwa muda mtefu, kwa case ya iphone angalau zinakaa.
Kudumu muda mrefu ni jambo la mtu binafsi, unakutana leo mtu ana Samsung Note 2 ila mwingine alinunua mwaka jana S20 imeshaharibika.

Durability ni matunzo ya mtu binafsi na sio eti kwamba simu inatengenezwa idumu muda mrefu, simu zote zinatengeneza zidumu muda mrefu ila baada ya hapo inakuja suala la mtu mmoja mmoja kwa utunzaji wake.

Ndio maana nikauliza durability maana yake nini na anaweza kutusaidia kujua simu ambazo hazitengenezwi kua durable?
 
Ha ha mbona umemshukia kama mwewe..
Kweli security kibongo bongo ni uongo..

Nadhan durability alimaanisha simu inaweza kudumu kwa muda mtefu, kwa case ya iphone angalau zinakaa.
muwe mnataja thamani kukaa muda mrefu mtaeleweka.

nenda youtube, kaangalie drop test uone iphone ilivyo ya kawaida na shida za binaadam.

so durability inategemea simu imekutana na nini.
 
Hahaha unajaribu kumtoa ufungwani.
 
Hahaha unajaribu kumtoa ufungwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…