Naweza pata simu dukani kwa bajeti ya 200k?

Naweza pata simu dukani kwa bajeti ya 200k?

Sawa.ila simshauri kununua inifinix.ovyo Sana hizo simu zina stuck Sanaa.
Ni kama Tecno Tu.
Sasa kwa pesa hiyo zaidi ya Tecno iliyo changamka atapata simu gani, hata Samsung za Bei hiyo ni Tecno zilizo changamka Zina ma MTK
 
Tecno F1 Unapata Na Pesa Inabaki Kununua Screen Protector, Cover Halafu Unaweka Bundle Kwaajili Ya Update!!!
 
Tecno F1 Unapata Na Pesa Inabaki Kununua Screen Protector, Cover Halafu Unaweka Bundle Kwaajili Ya Update!!!
hakuna simu papai kama hii, bora atafute used mkononi atakuwa na chance 85% kukwepa stress.
 
Back
Top Bottom