mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Feb 14, 2021 #21 Sawa.ila simshauri kununua inifinix.ovyo Sana hizo simu zina stuck Sanaa. Ni kama Tecno Tu. Nafaka said: Sasa kwa pesa hiyo zaidi ya Tecno iliyo changamka atapata simu gani, hata Samsung za Bei hiyo ni Tecno zilizo changamka Zina ma MTK Click to expand...
Sawa.ila simshauri kununua inifinix.ovyo Sana hizo simu zina stuck Sanaa. Ni kama Tecno Tu. Nafaka said: Sasa kwa pesa hiyo zaidi ya Tecno iliyo changamka atapata simu gani, hata Samsung za Bei hiyo ni Tecno zilizo changamka Zina ma MTK Click to expand...
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Feb 14, 2021 #22 Tecno F1 Unapata Na Pesa Inabaki Kununua Screen Protector, Cover Halafu Unaweka Bundle Kwaajili Ya Update!!!
Tecno F1 Unapata Na Pesa Inabaki Kununua Screen Protector, Cover Halafu Unaweka Bundle Kwaajili Ya Update!!!
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Feb 14, 2021 #23 Kennedy said: Tecno F1 Unapata Na Pesa Inabaki Kununua Screen Protector, Cover Halafu Unaweka Bundle Kwaajili Ya Update!!! Click to expand... hakuna simu papai kama hii, bora atafute used mkononi atakuwa na chance 85% kukwepa stress.
Kennedy said: Tecno F1 Unapata Na Pesa Inabaki Kununua Screen Protector, Cover Halafu Unaweka Bundle Kwaajili Ya Update!!! Click to expand... hakuna simu papai kama hii, bora atafute used mkononi atakuwa na chance 85% kukwepa stress.