nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
NDIYOMsaada kwa wajuzi
PIA INATEGEMEA NA NCHIMsaada kwa wajuzi
Kuna kazi nilipewa online sasa nimelipwa dola 3 nawezaje kuitoa?PIA INATEGEMEA NA NCHI
Download e wallet app, uingize pesa huko then ui swap kwenda kwa Bank account yako...!Kuna kazi nilipewa online sasa nimelipwa dola 3 nawezaje kuitoa?
Ebu kuwa serious utoe dola 3 ufanyie nini?Kuna kazi nilipewa online sasa nimelipwa dola 3 nawezaje kuitoa?
Apps gani hizo mkuu?Inawezekana. Kuna apps zinatuma karibu mitandao yote hasa kama mtumaji yupo Ulimwengu (USA), Canada au Ulaya.
[emoji23]Ebu kuwa serious utoe dola 3 ufanyie nini?
Western Union unaweza kutuma direct kwenye simu?Ndio unaweza, kuna WorldRemit, Remitly, western union, etc. Hapo inategemea na inapotokea kama huduma ipi ipo kwa nchi husika
Sendwave, remitly, world remit, Nala, WU, MoneyGram... countless apps.Apps gani hizo mkuu?
Tusaidie.
Naweza pokea pesa kutoka nje ya nchi kwa kutumia lain yangu ya tigo?
Msaada kwa wajuzi
Asante mkuuSendwave, remitly, world remit, Nala, WU, MoneyGram... countless apps.
Dollar 3 ni ela ndogo njia ambayo unaweza kuitoa ni kwa paypal au payoneer au skrill au aliyekulipa aikutumie direct via xoom to sim yako. Otherwise hakuna namna maana bank inahutaji walau iwe dollar 50Naweza pokea pesa kutoka nje ya nchi kwa kutumia lain yangu ya tigo?
Msaada kwa wajuzi
Kuna kazi nilipewa online sasa nimelipwa dola 3 nawezaje kuitoa?
Ndio tena tigo iko fasta sana kuliko mitandao mingine hasa kwa kutumia WORLD REMITNaweza pokea pesa kutoka nje ya nchi kwa kutumia lain yangu ya tigo?
Msaada kwa wajuzi