Naweza pokea pesa kutoka nje ya nchi kwa kutumia lain yangu ya Tigo?

Naweza pokea pesa kutoka nje ya nchi kwa kutumia lain yangu ya Tigo?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Naweza pokea pesa kutoka nje ya nchi kwa kutumia lain yangu ya tigo?

Msaada kwa wajuzi
 
Inawezekana. Kuna apps zinatuma karibu mitandao yote hasa kama mtumaji yupo Ulimwengu (USA), Canada au Ulaya.
 
Ndio unaweza, kuna WorldRemit, Remitly, western union, etc. Hapo inategemea na inapotokea kama huduma ipi ipo kwa nchi husika
 
Naweza pokea pesa kutoka nje ya nchi kwa kutumia lain yangu ya tigo?

Msaada kwa wajuzi

: check

1. World remit
2. Wave

Be careful kusoma maelezo uyaelewe vizuri kabisa na anayetuma naye aelewe.

Mfano:

1. Hela inakuja kwa simu au local pickup
2. Mtandao gani, soma vizuri
3. Inaenda kwa account?
4. Je upo kwenye website sahihi?
 
Naweza pokea pesa kutoka nje ya nchi kwa kutumia lain yangu ya tigo?

Msaada kwa wajuzi
Dollar 3 ni ela ndogo njia ambayo unaweza kuitoa ni kwa paypal au payoneer au skrill au aliyekulipa aikutumie direct via xoom to sim yako. Otherwise hakuna namna maana bank inahutaji walau iwe dollar 50
 
moja kwa moja tigo pesa
1663391060889.png

==
ndio,
 
Back
Top Bottom