Naweza tumia Neutral kwenye mteremko?

Naweza tumia Neutral kwenye mteremko?

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habarini wandugu,
Je kuna madhari yoyote niki engage Neutral gear kwenye automatic transmission nikiwa nashuka mlima ili nisave wese?
 
Ni upuuzi na kujidanganya eti neutral inasevu mafuta wakati kiuhalisia bado injini inakua inaunguruma[emoji4].
 
Wadau naomba kuuliza kazi ya neutral kwenye gari nini au ninatumika wakati gani na madhara yake ni yapi
Neutral si maana yake free yani gari haija engage gear yeyote. Endapo umepata break down gari inabidi ivutwe inabidi iwe neutral.

Au kwa gari za Manual neutral ndio parking hiyo.
 
Unaweza kudrive mteremkoni kwa kutumia N gear , hakuna meno yanayoumana hapo
 
Back
Top Bottom