Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
ni kutubu kwa imani ya dini yako na kuanza upyaNimefanya mambo fulani ambayo yameniletea aibu na bado najisikia hatia na kukosa kujiamini. How do i move on...
Vitu kama ulevi wa kupindukia, kutukana watu, kupoteza pesa nyingi nk.
Unatukana ukiwa umelewa i feel badKutukana mtu unawewezeka,kuua mbu utaweza wewe?!🤒
Asanteni kutubu kwa imani ya dini yako na kuanza upya
Sasa kwani kesho pombe ikiisha utakumbuka?Unatukana ukiwa umelewa i feel bad
We achana na mambo ya nyuma songa mbeleUnatukana ukiwa umelewa i feel bad
Kauzu sana[emoji1787][emoji1787]ila ndo ushauri mzuriWe kausha tu
Yeah kama hajafanya kituKauzu sana[emoji1787][emoji1787]ila ndo ushauri mzuri
Wanafanyaga kusudi kujidai wamelewa kumbe wamepania tu kumtukana mtuSasa kwani kesho pombe ikiisha utakumbuka?
Sana tuSasa kwani kesho pombe ikiisha utakumbuka?
Best comment.Muhimu ni kua umeshajua kua ulikua unakosea, hii ni hatua muhimu sana. Kuanzia hapo ulipo sasa anza kuishi kwa kutokua tena na tabia za hovyo na ishi vizuri na watu, baada ya muda wa kuanzia miezi sita utakua umesha sahau ya nyuma na utaanza kuishi kwa kujiamini na kwa furaha, na hata watu watakua wameanza kukuona tofauti. Baada ya muda zaidi na zaidi utakua mtu bora zaidi
Naam, anza leoBest comment.
Ni muhimu nichukue hatua sasa