Naweza vipi kukabiliana na hali ya kujisikia hatia (guilty conscience)?

Naweza vipi kukabiliana na hali ya kujisikia hatia (guilty conscience)?

Je!, umeokoka?, kama bado hujachelewa salimisha maisha yako kwa Yesu Kristo. Unapookoka yaani(Geuko) unasamehewa dhambi zako zote kabisa unabaki sinless (that is the power of the Blood of Jesus Christ) na baada ya hapo utapokea kipawa(nguvu ya Roho Mtakatifu) naye atakusaidia kuishi maisha makamilivu ataikata Kiu ya pombe,sigara,uzinzi na kila aina ya anasa inayokusumbua itaondoka kabisa na hata ukifa one way to heaven.

Nauhakika hapo ulipo nikikuuliza hapo "ukifa unaenda mbinguni " obviously jibu ni la labda unidanganye na hata ukinidanganya/kudanganya iko dhamiri yako inakushuhudia kuwa ukifa utaenda kuzimu.


Sasa kuwa makini katika kujuta huko Shetani atazidi kukukumbusha mambo yote maovu uliofanya ili ujione kabisa huna thamani na hufai what Next atakwambia "NI HERI UJIUE TU" utajikuta una commit suicide 😢 na hapo ndio itakuwa mwisho wa maisha yako utaishia Motoni milele. Shetani anapenda kutumia weakness kama hizo kukushawishi ufanye hivyo (hatakulazimisha ila atakushawishi) once uka agree umeisha.

Nafasi unayo sasa tengeneza maisha yako kwa kumwamini Yesu leo ndio kupona kwako na utakuwa umefanya uamuazi wa busara kuliko uamuazi wowote ambao umeshawahi kuufanya.


Jitafakari tu yote hayo uliyofanya yamekufaidia nini?? Je, Kuna Faida yoyote umepata katika hayo? Hata mtu anaezini na kutukana na kulewa yoyote nje yako anayefanya hivyo muulize hata wewe unaesoma ujumbe huu umepata faida gani katika hayo??. Kama sio kuangamiza nafsi yako??.

Usisite kunitafuta kama utatamani msaada zaidi. Kama utahitaji kutoka kwenye hiyo hali ni rahisi sana yuko aliekufa kwa ajili ya kila mtu na akabeba dhambi za kila namna ili wewe na mimi tuwe huru na hili jambo ni halisi kabisa,


Ukihitaji msaada wasiliana nami kwa namba hizi.

Phone: 0613079530. Naitwa Mtumishi Paul. Utatoka katika gereza hilo alilokufunga Shetani pasipo Gharama yoyote ya Kifedha. Ni bure kabisa NEEMA YA MUNGU HAIUZWII!!!
 
SI KILA MTU ANAWEZA SOMA MAKALA HII INACHOMA NA INATAFAKARISHA NA NI MSAADA MKUBWA SANA KWAKO UKISOMA NA KUTENDEA KAZI(Umebarikiwa wewe utakaesoma).

Je!, unalijua hili jambo? Kila mtu
ambae hajaokoka anamapepo ndani yake!, utajiuliza kivipi mbona sijawahi kulipukwa na mapepo, pole sana ndugu si kila mapepo yanalipuka na kupiga kelele,

Hivyo mtu anaye kunywa pombe, sigara,kuangalia picha za uchi,kujichua,kununua makahaba,kahaba,uongo,kutamani wanawake,madawa ya kulevya,Msongo wa Mawazo nk. Mambo haya yote yanaendeshwa na mapepo ndani ya mtu.


KWA NAMNA GANI?.

Ukitafakari kwa kina kama wewe unamoja ya hivyo vitu hapo ama kama umewahi kuishi na watu wenye moja ya mambo hayo mmoja wapo ni wewe usomaye. Kuna Kiu unakuwa ndani yako inayokufanya uone huwezi kuishi bila pombe, ngono,kuangalia picha za uchi,nk na wakati mwingine unapata unakuwa hutaki kabisa kufanya kama ukiwa ni mtu unaepiga Punyeto utaona Kuna muda unafanya hivyo halafu unajuta nafsini mwako na unasema "HII NI MARA YA MWISHO SIFANYI TENA" ila usiku au baada ya wiki unafanya kwa nini umewahi kujiuliza??.

Ni kwa sababu pepo lililoko ndani yako linakushurutisha na kuweka kiu hiyo ndani yako ufanye hivyo na ukiwa unafanya hayo mambo yote unakuwa kama umepigwa ganzi ukishamaliza tu ganzi inaondoka unaanza kujuta!? Nafikili unanielewa CHUKUA HATUA HARAKA UTAKUFA NA UTAKWENDA KUZIMU. Shetani anakutamani zaidi ya unavyofikili anataka uende nae kuzimu ukateseke milele, utapata faida gaini kama sio majuto ya milele na hutaweza kutoka tena ukishafika huko 😢.

Maandiko yanasema Afanyaye dhambi ni mtumwa wa dhambi. Na Mshahara wa dhambi ni Mauti(Warumi 3:23).

pepo linakufanya uone bila kuvuta Moshi hutaishi utakufa unaamka hata saa8 usiku kwenda kutafuta sigara au pombe au kujichua nk ili upate Amani hiyo kiu iishe ndugu tafakali .


Tangu lini hivyo vitu vikakufanya uishi?? Mbona kipindi hujaanza kuzini,kusema uongo kunywa pombe,kutukana,kujichua, nk ulikuwa unaweza kuishi bila hivyo iweje sasa hivi uone huvyo ndio oxygen yako? Think man!!.


Mwenye kusikia na kutaka kubadilika kuokoka Yesu yupo kwa ajili yako na anakupenda sana sana ni wewe tu ufungue moyo wako na kuamua kumpa Yesu maisha yako naye atakusamehe haijalishi umewahi kufanya mambo mabaya kiasi gani kwake Kuna msamaha usiokuwa na kinyongo HALELUYA!!,

Fanya uamuzi sasa UKIFA KATIKA HALI HIYO NAKUHAKIKISHIA UTAKWENDA KWENYE MOTO WA MILELE NA HAUTATOKA KABISA HUKO UTAENDENDELA KUTESEKA MILELE. Sikutishi nakwambia ukweli usioamua kuchukua hatua leo.

Mwenyewe kusoma mpaka hapa na ubarikiwe katika Kristo Yesu. Na hongera si kila mtu anaweza kusoma na akamaliza makala fupi hii maana inachoma na inasema uhalisia wa mambo ambayo mimi pia niliwahi kuwa huko.


Ubarikiwe sana.
Kwa msaada zaidi wa kutaka kumjua zaidi Mungu wasiliana nami kwa mawasiliano haya huduma kama maombezi,ushauri ni Bure kabisa. NEEMA YA MUNGU HAIUZWI. nimepewa bure na nitatoa Bure.
Maana si kwasababu mimi nilistahili ila ni Neema tu za Bwana kwa matendo yangu nisingeliweza.

Phone:0613079530.
 
Back
Top Bottom