Nawezaje jifunza kifaransa kwa haraka?

Kuna taasisi kibao tu zinatoa short/long course ya lugha ya Kifaransa kama vile VETA n.k
 
Napenda sana kujua kifaransa, lakini sijapata mwalimu mzuri , naweza kupata wapi msaada?
 
Napenda sana kujua kifaransa, lakini sijapata mwalimu mzuri , naweza kupata wapi msaada?
Mwalimu wa kifaransa bongo tunaongopeana.
Ni wabovu sana kwenye matamshi.
Utajifunza lkn huwezi kuongea na mfaransa kamwe[emoji1787]
 
Napenda sana kujua kifaransa, lakini sijapata mwalimu mzuri , naweza kupata wapi msaada?

Ukipata location dar es salaam nitag mkuu na mimi nina taka kujifunza lugha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…