Nawezaje jifunza kifaransa kwa haraka?

Nawezaje jifunza kifaransa kwa haraka?

Napenda sana kujua kifaransa, lakini sijapata mwalimu mzuri , naweza kupata wapi msaada?
Tumia app ya duolingo, me nilijifunza kiarabu kwa wiki mbili tu kusoma na kuandika, tena kwa kifaransa itakuwa rahisi zaidi kwa sababu kinakaribiana sana na kingereza pia wanatumia hizi herufi za kawaida sema inakula mb kama youtube tu
 
Duolingo nilikuwa naichukulia poa kumbe ni App Bora!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Njoo ni kufundishe Kifaransa cha wanjanja Québec français

Je suis = sui (swi) =mimi niko.! (Iam)
Tu es (te) wewe uko (you are)
Il est (ile) yeye ni (he is)
Elle est (ila) yeye ni ( she is)
Nous sommes ( one) sisi ni ( we are)
Vous êtes ( vuzete) nyinyi ni ( you are)
Ils ont ( ils ont) wao ni (they are)
Elles ont ( ils ont) wao ni (they are)
 
Napenda sana kujua kifaransa, lakini sijapata mwalimu mzuri , naweza kupata wapi msaada?
Kifaransa kina kanuni nyingi sana kuliko kiingereza. Kwahiyo, unahitaji mazingira yatakayokushughulisha na KIFARANSA peke yake kwa muda mrefu.
Hivyo, kama ukiwa umezungukwa na watu wanaoongea kifaransa tu, ndio itakuwa rahisi kwako kujua kifaransa mapema sana, Kwasababu huna mbadala wa mawasiliano isipokuwa KIFARANSA tu.
Nadhani, kuishi Ufaransa ni njia rahisi zaidi ya kujua kifaransa, hasa cha kuongea.
-Pia unaweza ukatumia walimu kwa kutumia vitabu vingi vya hatua mbalimbali, audios, videos, dialogues, exercises nyingi, kanuni za vitenzi mbalimbali na nyakati mbalimbali, maneno na sentensi za kifaransa na jinsi zinanavyoundwa, nk( UVUMILIVU ni muhimu Sana).
 
Njoo ni kufundishe Kifaransa cha wanjanja Québec français

Je suis = sui (swi) =mimi niko.! (Iam)
Tu es (te) wewe uko (you are)
Il est (ile) yeye ni (he is)
Elle est (ila) yeye ni ( she is)
Nous sommes ( one) sisi ni ( we are)
Vous êtes ( vuzete) nyinyi ni ( you are)
Ils ont ( ils ont) wao ni (they are)
Elles ont ( ils ont) wao ni (they are)
Upotoshaji huu! Mimi niko au wewe uko, ni lugha ya wapi?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Tumia app ya duolingo, me nilijifunza kiarabu kwa wiki mbili tu kusoma na kuandika, tena kwa kifaransa itakuwa rahisi zaidi kwa sababu kinakaribiana sana na kingereza pia wanatumia hizi herufi za kawaida sema inakula mb kama youtube tu
Kakudanganya nani kifaransa kiko hivyo mkuu?
-kwanza kama ni mtu wa kukata tamaa,huwezi hata ufundishwe miaka. Kilatini,kifaransa,kirusi, mpaka uwe na nia na sababu.
-Lugha za kujifunza darasani,na lugha mtu anayohitaji kwa ajili ya shughuli, ni vitu viwili tofauti.

Kikubwa anaetaka kujifunza awe na mtu karibu,wa kuweza kuongea nae mara kwa mara.
Na hapo,kwanza utakuwa na uwezo wa kuongea kifaransa cha kiafrika, mzungu wa ufaransa mpaka muelewane,itachukua mda.

Kiswahili nimejifunza ukubwani mie, na kilichosaidia ni kukaa na watu wanaokiongea. Darasani,hamna kitu
 
Back
Top Bottom