Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)

Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
905
Reaction score
1,002
Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)
 
Kama zote router na PC zina wifi unaunga kama kawaida kama inakataa na device zengine zinakubali ni shida kidogo kujua tatizo ni nini.

So ningekushauri hiyo router inafanya kazi na device zengine?
Hiyo laptop inakubali kuunga wifi na router zengine?
Ukijibu haya maswali utajua nani ni tatizo.

Kama ni PC kwa vile ni win 7 sidhani kama kutakuwa na driver updates tena, labda ununue USB wifi stick.

Pia kama router yako inasupport jaribu kuzima au kubadili mfumo wa password weka WEP mfumo wa kizamani au ondoa kabisa password uone.
 
Nyinyi wabongo mnafeli mnafeli wapi
Window 7?
Halafu mara unataka kuchungulia kwenye mtandao wa tigo kuangalia muamala wako
Mkipulizwa salio lote mnaaza kulialia humu
 
Back
Top Bottom