NAWEZAJE KUA WAKALA MKUU ( SUPER AGENT) YAS, M-PESA

Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
216
Reaction score
119
Habari wakuu mbalimhali:

1. Naomba kujua namna ya kuwa SUPER AGENT wa mitandao ya SIMU ya YAS/TIGO na VODACOM/ M-pesa.

2. Pia naomba kujua utaratibu wa kua na TigoShop au Voda Shop mfano wa hizi tunazo enda kupata Huduma mbalimbali kama Milimani City.

Natanguliza Shukrani
 
Pongezi kwa kuto kua mvivu. Uvivu ni kinyume cha uwajibikaji ? Kwa hivyo ni sifa ya ubinadamu. Tusaidie tu wavivu utabarikiwa. Huenda wanao wanaweza ajiriwa na wavivu au ndugu zako. Una onaje hii?
😀😀😀😀 jamaa anataka umtafunie kila kitu, watanzania hii tabia ya uvivu inawagharimu sana
 
12
Mtaji mil 12
Tembelea ofisi zao upeleke attachment wazitakazo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
12M bado sana kwa super agent kiongozi hiyo hata wakala wa kawaida bado hawezi kufanya miamala yote itakuwa kila siku unasema huna float

Kuna mawakala wa kawaida huweka float 5M au 8M sasa ukiwa nayo hiyo labda kwenye yas, huku mitandao mingine utakuwa na sh ngapi na bado unatakiwa uwe na cash

Kiufupi naonelea super agent uhudumie vizuri angalau 80M . Ama kuunga unga uwe na 50Mhiyo nje na rent na marekebisho ya ofisi
 
Kuna mtu karopokwa nilipo uliza swali la pili kutaka kujua taratibu zake akiona kama nataka uterezi bila kujua jitihada zilizo fanyika. Nilisha fika ofisi zao enzi za Tigo nikaambiwa 45 nikaomba vigezo sikupewa lakini kuna mropokaji ana sema " jamaa anataka umtafunie kila kitu" 😄
 
Ukishakuwa navyo hicho vingine rahisi tu nenda yas, Airtel/voda shop watakipa utaratibu

Nyaraka ni kama tin number, leseni , copy ya kitambulisho, wakiongeza labda barua yako na serikali ya mtaa , watataka na Mhuri wa mwanasheria nafikiri pia zinalipiwa hizo laini ila sijui kwa sasa ni sh ngapi

Ila mashine za CRDB+ nmb wanakuchaji 1,100,000 +
 
Soma mada yake kwanza ndio jibu swali "Naweza kuwa super agent wa Yas, m-pesa""

Jibu:- Ndio anaweza
Hayo ya marekebisho ya ofisi umeyatoa wapi?

Fact:-
1. Mil 12 ndio mtaji
2. Anaenda YAS anapeleka attachment, wanampa TILL ya SUPER AGENT.
Halafu anaweka float Mil 12.
3. Anaenda Mpesa anapeleka Attachment, wanampa TILL ya Super AGENT.
ile ilr Mil 12 ya YAS anaweka Mpesa
4. Anaendelea hivyohivyo kwa Halopesa na Airtel Money.

NB.
Mtaji haujawahi tosha kwenye biashara.
Huna sababu ya kuanza kwa ukubwa ""START SMALL""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kuna mtu karopokwa nilipo uliza swali la pili kutaka kujua taratibu zake akiona kama nataka uterezi bila kujua jitihada zilizo fanyika. Nilisha fika ofisi zao enzi za Tigo nikaambiwa 45 nikaomba vigezo sikupewa lakini kuna mropokaji ana sema " jamaa anataka umtafunie kila kitu" 😄
Ongea na watu uvae viatu
Iko hivi ....
Mimi ni wakala mkubwa tu mwenye ofisi 4 kwenye location 4 za mji mmoja.
Kamisheni yangu ni kubwa tu ni wakala wa Mitandao yote ya simu na Bank za NBC, NMB, CRDB, EXIM, TBP, na PBZ.
Na nilishawahi pata offer ya kuwa super agent wa Voda kwa mil 7 tu, ila kutokana na vile bado ni mwajiriwa niliona nitafeli kwenye management.

Rudi kwenye hizo ofisi kaongee na TDR vizuri.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ukishakuwa navyo hicho vingine rahisi tu nenda yas, Airtel/voda shop watakipa utaratibu

Nyaraka ni kama tin number, leseni , copy ya kitambulisho, wakiongeza labda barua yako na serikali ya mtaa , watataka na Mhuri wa mwanasheria nafikiri pia zinalipiwa hizo laini ila sijui kwa sasa ni sh ngapi

Ila mashine za CRDB+ nmb wanakuchaji 1,100,000 +
Mashine za bank
CRDB = Zamani ilikuwa 450k na sasa hivi ni Mil 1 kamili
NMB = Mil 1,106,000/=
NBC = 450K

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom