NAWEZAJE KUA WAKALA MKUU ( SUPER AGENT) YAS, M-PESA

NAWEZAJE KUA WAKALA MKUU ( SUPER AGENT) YAS, M-PESA

12
12M bado sana kwa super agent kiongozi hiyo hata wakala wa kawaida bado hawezi kufanya miamala yote itakuwa kila siku unasema huna float

Kuna mawakala wa kawaida huweka float 5M au 8M sasa ukiwa nayo hiyo labda kwenye yas, huku mitandao mingine utakuwa na sh ngapi na bado unatakiwa uwe na cash

Kiufupi naonelea super agent uhudumie vizuri angalau 80M . Ama kuunga unga uwe na 50Mhiyo nje na rent na marekebisho ya ofisi
Kuna mtu karopokwa nilipo uliza swali la pili kutaka kujua taratibu zake akiona kama nataka uterezi bila kujua jitihada zilizo fanyika. Nilisha fika ofisi zao enzi za Tigo nikaambiwa 45 nikaomba vigezo sikupewa lakini kuna mropokaji ana sema " jamaa anataka umtafunie kila kitu"
Ukishakuwa navyo hicho vingine rahisi tu nenda yas, Airtel/voda shop watakipa utaratibu

Nyaraka ni kama tin number, leseni , copy ya kitambulisho, wakiongeza labda barua yako na serikali ya mtaa , watataka na Mhuri wa mwanasheria nafikiri pia zinalipiwa hizo laini ila sijui kwa sasa ni sh ngapi

Ila mashine za CRDB+ nmb wanakuchaji 1,100,000 +
Thanks Mkuu
 
Ongea na watu uvae viatu
Iko hivi ....
Mimi ni wakala mkubwa tu mwenye ofisi 4 kwenye location 4 za mji mmoja.
Kamisheni yangu ni kubwa tu ni wakala wa Mitandao yote ya simu na Bank za NBC, NMB, CRDB, EXIM, TBP, na PBZ.
Na nilishawahi pata offer ya kuwa super agent wa Voda kwa mil 7 tu, ila kutokana na vile bado ni mwajiriwa niliona nitafeli kwenye management.

Rudi kwenye hizo ofisi kaongee na TDR vizuri.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Thank you
 
Kuna mtu karopokwa nilipo uliza swali la pili kutaka kujua taratibu zake akiona kama nataka uterezi bila kujua jitihada zilizo fanyika. Nilisha fika ofisi zao enzi za Tigo nikaambiwa 45 nikaomba vigezo sikupewa lakini kuna mropokaji ana sema " jamaa anataka umtafunie kila kitu" 😄
Don't take it personal mkuu naona hutaki kukubaliana na ukweli
 
Don't take it personal mkuu naona hutaki kukubaliana na ukweli
Jukwaani kuna shortcuts au kuna wenye ujuzi mwingi ndio maana kama ume elewa nilisha fuatilia sikupata majibu. Kutokana na jukwaa hili nime soma kua natakiwa nionane na TDR uli lifahamu hili kabla ?
 
Soma mada yake kwanza ndio jibu swali "Naweza kuwa super agent wa Yas, m-pesa""

Jibu:- Ndio anaweza
Hayo ya marekebisho ya ofisi umeyatoa wapi?

Fact:-
1. Mil 12 ndio mtaji
2. Anaenda YAS anapeleka attachment, wanampa TILL ya SUPER AGENT.
Halafu anaweka float Mil 12.
3. Anaenda Mpesa anapeleka Attachment, wanampa TILL ya Super AGENT.
ile ilr Mil 12 ya YAS anaweka Mpesa
4. Anaendelea hivyohivyo kwa Halopesa na Airtel Money.

NB.
Mtaji haujawahi tosha kwenye biashara.
Huna sababu ya kuanza kwa ukubwa ""START SMALL""

Wewe uliyesoma mfafanulie vizuri mkuu maana 12M wewe umemaanisha ni kwa laini (mtandao mmoja) je wewe umeelewa aliuliza anatakiwa awe na mtaji gani kwa laini moja? Au mtaji mzima wa kuendesha biashara? . Tuwe positive
 
Huwa nachekaga sana nikisikia like tangazo "Tigo Sasa ni yas, na tigo pesa ni mixx by yas"....ni kama wanaendelea kudumisha lile jina liendelee
 
Wewe uliyesoma mfafanulie vizuri mkuu maana 12M wewe umemaanisha ni kwa laini (mtandao mmoja) je wewe umeelewa aliuliza anatakiwa awe na mtaji gani kwa laini moja? Au mtaji mzima wa kuendesha biashara? . Tuwe positive
Hoja yako nimeijibu kwenye comment uliyoweka hii comment.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom