Ndikusyaganya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 216
- 119
NdioCha kwanza uwe na mzigo yan pesa siyo msingi wa laki tisa unataka uwakala mkuu
Cha kwanza uwe na mzigo yan pesa siyo msingi wa laki tisa unataka uwakala mkuu
Thanks Mkuu, attachment ni kama ?Mtaji mil 12
Tembelea ofisi zao upeleke attachment wazitakazo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Tembelea ofisi zao.Thanks Mkuu, attachment ni kama ?
ππππ jamaa anataka umtafunie kila kitu, watanzania hii tabia ya uvivu inawagharimu sanaTembelea ofisi zao.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
ππππ jamaa anataka umtafunie kila kitu, watanzania hii tabia ya uvivu inawagharimu sana
12M bado sana kwa super agent kiongozi hiyo hata wakala wa kawaida bado hawezi kufanya miamala yote itakuwa kila siku unasema huna floatMtaji mil 12
Tembelea ofisi zao upeleke attachment wazitakazo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kuna mtu karopokwa nilipo uliza swali la pili kutaka kujua taratibu zake akiona kama nataka uterezi bila kujua jitihada zilizo fanyika. Nilisha fika ofisi zao enzi za Tigo nikaambiwa 45 nikaomba vigezo sikupewa lakini kuna mropokaji ana sema " jamaa anataka umtafunie kila kitu" π12
12M bado sana kwa super agent kiongozi hiyo hata wakala wa kawaida bado hawezi kufanya miamala yote itakuwa kila siku unasema huna float
Kuna mawakala wa kawaida huweka float 5M au 8M sasa ukiwa nayo hiyo labda kwenye yas, huku mitandao mingine utakuwa na sh ngapi na bado unatakiwa uwe na cash
Kiufupi naonelea super agent uhudumie vizuri angalau 80M . Ama kuunga unga uwe na 50Mhiyo nje na rent na marekebisho ya ofisi
Soma mada yake kwanza ndio jibu swali "Naweza kuwa super agent wa Yas, m-pesa""12
12M bado sana kwa super agent kiongozi hiyo hata wakala wa kawaida bado hawezi kufanya miamala yote itakuwa kila siku unasema huna float
Kuna mawakala wa kawaida huweka float 5M au 8M sasa ukiwa nayo hiyo labda kwenye yas, huku mitandao mingine utakuwa na sh ngapi na bado unatakiwa uwe na cash
Kiufupi naonelea super agent uhudumie vizuri angalau 80M . Ama kuunga unga uwe na 50Mhiyo nje na rent na marekebisho ya ofisi
Ongea na watu uvae viatuKuna mtu karopokwa nilipo uliza swali la pili kutaka kujua taratibu zake akiona kama nataka uterezi bila kujua jitihada zilizo fanyika. Nilisha fika ofisi zao enzi za Tigo nikaambiwa 45 nikaomba vigezo sikupewa lakini kuna mropokaji ana sema " jamaa anataka umtafunie kila kitu" π
Mashine za bankUkishakuwa navyo hicho vingine rahisi tu nenda yas, Airtel/voda shop watakipa utaratibu
Nyaraka ni kama tin number, leseni , copy ya kitambulisho, wakiongeza labda barua yako na serikali ya mtaa , watataka na Mhuri wa mwanasheria nafikiri pia zinalipiwa hizo laini ila sijui kwa sasa ni sh ngapi
Ila mashine za CRDB+ nmb wanakuchaji 1,100,000 +
12m ni ndogo kwa Super Agent, hizi ni float za mawakalaMtaji mil 12
Tembelea ofisi zao upeleke attachment wazitakazo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Comment #1612m ni ndogo kwa Super Agent, hizi ni float za mawakala