NAWEZAJE KUA WAKALA MKUU ( SUPER AGENT) YAS, M-PESA

Kuna mtu karopokwa nilipo uliza swali la pili kutaka kujua taratibu zake akiona kama nataka uterezi bila kujua jitihada zilizo fanyika. Nilisha fika ofisi zao enzi za Tigo nikaambiwa 45 nikaomba vigezo sikupewa lakini kuna mropokaji ana sema " jamaa anataka umtafunie kila kitu"
Thanks Mkuu
 
Thank you
 
Don't take it personal mkuu naona hutaki kukubaliana na ukweli
 
Don't take it personal mkuu naona hutaki kukubaliana na ukweli
Jukwaani kuna shortcuts au kuna wenye ujuzi mwingi ndio maana kama ume elewa nilisha fuatilia sikupata majibu. Kutokana na jukwaa hili nime soma kua natakiwa nionane na TDR uli lifahamu hili kabla ?
 
Wewe uliyesoma mfafanulie vizuri mkuu maana 12M wewe umemaanisha ni kwa laini (mtandao mmoja) je wewe umeelewa aliuliza anatakiwa awe na mtaji gani kwa laini moja? Au mtaji mzima wa kuendesha biashara? . Tuwe positive
 
Huwa nachekaga sana nikisikia like tangazo "Tigo Sasa ni yas, na tigo pesa ni mixx by yas"....ni kama wanaendelea kudumisha lile jina liendelee
 
Wewe uliyesoma mfafanulie vizuri mkuu maana 12M wewe umemaanisha ni kwa laini (mtandao mmoja) je wewe umeelewa aliuliza anatakiwa awe na mtaji gani kwa laini moja? Au mtaji mzima wa kuendesha biashara? . Tuwe positive
Hoja yako nimeijibu kwenye comment uliyoweka hii comment.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…