Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Sasa si uitaje!Ni kazi ambayo inahitaji ujitoe akili kidogo, usiwe na aibu na kujiona ww msomi, lkn kwa kiasi chake inakupa pesa ya kula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si uitaje!Ni kazi ambayo inahitaji ujitoe akili kidogo, usiwe na aibu na kujiona ww msomi, lkn kwa kiasi chake inakupa pesa ya kula
[emoji2][emoji2] huku kuna njia ya kuingia tu kutoka nooo..Habari ndugu na jamaa!
Natumai mko salama, twende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekua na uraibu sugu naweza kusema wa mchezo wa betting! Mchezo huu nimeanza toka nikiwa kidaro cha sita 2015 (shule yetu ilikua na uhuru sana wa kutumia simu)... nilivoongia chuo ndio hali iakazidi maana nilikua nikipata pesa kidogo ya bum so nikawa nashawishika kuendelea kubet. Nilipoteza kias kingi sana cha pesa kipindi cha chuo nikikumbuka na nilijitahidi sana kuacha lkn nilishindwa... Baada ya chuo nikarudi mtaani, maisha yakawa magum kidogo ajira hakuna hvo nikawa kama nimepunguza kwa kiasi kikubwa huo mchezo
Baada ya kusaka ajira kwa mda mrefu na kukosa, kuna fani moja niliamua kujifunza ambayo ilinisaidia sana kupata pesa ya kula. Ni fani ambayo mpaka hivi sasa inanifanya niishi kwa maana kwa siku sikosi 20000 mpaka 70,000 kama faida inategemeana tu na siku yenyewe. Baada ya kuanza kupata tu hiyo pesa ugonjwa wangu ukarudi palepale! Sikai na pesa mfukoni, nikiipata tu nawashwa kubet, mbaya zaid natumia app za simu sio makaratasi, kwa hiyo nikipata pesa tu naiweka kwenye sim naanza kubet. Nikiliwa ikaisha nitataka hata kukopa kwa marafiki ili nijaribu kuirudisha iliyoliwa.
Kuna muda nakaa mwenyewe najiapiza kwamba sitabet tena lkn simalizi wiki mbili narudia tabia yangu... kila malengo ya kimaendeleo ninayoyaweka yanashindwa kutimia kwa sababu ya betting... kwa miaka miwili sasa sina maendeleo yoyote! Roho inaniuma sana sana!! Nimejaribu kila njia kuacha lkn imeshindikana.
Wanasema mficha maradhi mauti humuumbua... nimeamua kujitokeza kwenu kuomba msaada wa mawazo namna gani naweza kuachana na huu mchezo!! Au kwa yeyote aliyewahi kupitia hali hii naomba anieleze aliwezaje kuacha
NOTE: kuna wale ambao wanaamini huwa wanapta faida kwa huu mchezo, siwakatazi kuendelea kubet, hivo naomba usicomment ukitoa njia au namna nzuri ya kubashiri, maana ninachotaka ni kuacha sio kuendelea au kutafuta njia nzuri ya kubet!
Mpaka umeleta humu, ni njia ya kuelekea kuacha.Habari ndugu na jamaa!

Embu acheni utani jamani, hv unaachaje kubet kwa mfano, kuna mambo mengi tunayafanya na sio ya muhimu yanamaliza pesa lkn hayajadili harafu mnajadili kuacha kubet?
Hivi boys anayenunua Malaya kwa elfu50 mpaka laki na upuuzi na wengine mpaka milioni na mm ninaye bet nani ana afadhali
Embu tazama sport pesa zigo lishafika bilioni kadhaa na upuuzi Fulani ukiliotea mbona kanisani unaitwa mzee wa kanisa hata kama uko under 18
Usiache kubeti mwana, kamua mpaka tumtie hasara kanjibayi
Mpaka umeleta humu, ni njia ya kuelekea kuacha.
Betting inapoteza hela sana.
Kikubwa pia nakushauri "Uache kuangalia live score na kufatilia ratiba za mpira" yaani kama una App ya mipira, ifute...usijue fulani anacheza lini na nani.Itakusaidia.
Maana ukiingia tu livescore ama App ya kubeti, lazima utamani kubeti.