Nawezaje kuacha uvivu?

Exactly
 
Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine?
Kwanza elewa sababu za kuwa mvivu kwenye majukumu yako ya kila siku.
Hapo inaweza kuwa
1.Hupendi unachofanya
(Kama hupendi unachofanya basi anza taratibu kubadili hicho unachofanya na kutafuta kitu unachokipenda zaidi na ukifanye na achana na hicho unachofanya sasa)

2.Au una hali ya kughairisha kazi au majukumu.
(Hii kuiondoa unatakiwa ujitathimini jievaluate kila siku kabla ya kulala chukua peni na karatasi then andika kila lisaa tokaa umeamka umefanya nini then angali ulifanya kazi yaani productivity kwa muda gani na muda gani ulipoteza anzia hapo kubadilika hofia feature yako zaidi.)

3. Umezungukwa na watu wavivu
(Hii dawa yake ni ku cut off rafiki ambao unaona kabisa hapa sitoboi nikiwa nao.
Kumbuka ndege wafanao uruka pamoja)

yangu ni hayo tu kwa uchache.
 
Asante sana
 
Unafaa kuwa mke kabisa. Wife material huwa wapogo namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…