Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Majuto ni mjukuu......alijifanya kitombi sasa yanamkuta....na angalau mna mpa miambili miambili vinginevyo angeita maji Umma.Dingi Wangu Angekuwa humu hili swali angelijibu vizuri sana, maana yeye alitufyatua 11 katika nyumba ya vyumba viwili, baada ya hapo akaukimbia mji na kuoa mwanamke mwingine huko nako kafyatua Saba na maisha yanaendelea. Kwa kweli akina mama wana kazi sana ya kulea watoto na dingi Kwa sasa ni majuto kwa sana kwa kitendo kile cha kukimbia mji…maana sasa siku zimeenda na watoto wote hatujamtenga…lakini kila siku ukikutana naye yeye ni kuomba msamaha tu hadi huruma…
Angalia ndugu yangu, mutawapa watoto wakati mgumu sana, lakini Kama uko vizuri na uendelee kuwapa matunzo pia emotional support - itawasaidia sana…
Kufyatua Ina majukumu mengi sana beyond utamu wa Dakika 3…
Fainali uzeeni… Hilo zingatia sana…
Daah haya maisha bwana.......umemchakata mwenzio hadi umefikia watoto 5.Tayari uhusiano huu umezalisha watoto watano.
Wakuu tupeane maujanja ya namna ya kutoka kwenye mahusiano haya na matokeo yake (yote mazuri na mabaya) ya kuachana huko.
**Sitaki ushauri wa kurudiana maana maamuzi ya kuachana tayari yameshafanyika.
Yaani mpaka mnaweza kupanga vizuri namna hii basi nyie hamjaachana😅😅Lazima muandae mpango mzuri wa namna ya kulea hao watoto wenu pasipo kuwaumiza. Mnaweza kukubaliana watoto waishi Kwa Nani, ratiba za kuwaona, gharama za mahitaji muhimu ya afya,elimu,chakula na malazi vizingatiwe.
Wewe tayari ni Mwathrika wa Ndoa na talaka, ona umesha deviate from normal. Ushaona Mwanamke kwako hana thamani. Haya ni matokeo ya Wazazi wako kujali hisia zao na kusahau hisia za watoto.Amani ya moyo ni muhimu sana,baba na mama waliachana wakiwa na watoto 7 including me,niliachwa na kulelewa na baba nikiwa na mwaka 1.8 na leo hii nipo,kupitia hali hii sina huruma na mwanamke atayeniletea ujinga ujinga,nikuachana na kuoa tena,hata kama nitaoa mara 100 sitajari
Hivi hii inakuwaje kuwaje? Umemchakata mtu hadi umeipanua mara 12😅😅😅Kuna mzee alimuacha mkewe wakiwa na watoto 12, nwingine waliachana wakiwa na watoto 8, hawa ni watu naowajua kwa karibu,
kuliko mchinjane humo ndani heri muachane, kwa watoto ni maumivu lakini sio vyema kuishi na mtu mlieshindwana kwa msukumo wa watatuonaje?
Na amefyatua zaidi ya hao Saba Kwa michepuko mingine… dingi alikuwa mtu fulani muhimu Sana huko serikalini na wanawake walimzonga sana Kutaka maokoto… sasa umri umeenda anakimbilia almost 95 na ndio anakumbuka majuto…Majuto ni mjukuu......alijifanya kitombi sasa yanamkuta....na angalau mna mpa miambili miambili vinginevyo angeita maji Umma.
Ukiwa kijana kuwa makini sana na mienendo yako. Imagine mtu anafyatua tu hadi 11 wala uwezo wa kulea au kujenga nyumba hana.
Mtu kama huyu hajali mnalala wapi, mnakula nini yeye anajua tu kuosha rungu na chakula huwa hanunui.
Akaenda huko akazaa tena 7.
Wazungu walishasema Africa tunaweza kuzaa sana, ngono, pombe na kucheza ngoma tu.
Kumbe alikuwa na maokoto ya kutosha sana. Sasa ilikuwaje pamoja na kuwa mtu wa Mapene hajujenga Nyumba ya familia?Na amefyatua zaidi ya hao Saba Kwa michepuko mingine… dingi alikuwa mtu fulani muhimu Sana huko serikalini na wanawake walimzonga sana Kutaka maokoto… sasa umri umeenda anakimbilia almost 95 na ndio anakumbuka majuto…
Kinachowasumbua wengi vijana wakiume na wakike ni ile kujiona kuwa naweza kufanya chochote anasahau kuwa after 50s kila kitu kinarudi mwanzo.Mtoa Mada awe makini sana na maisha ya ujanani…
Mkuu unachosema uko sahihi Moja ya Ndugu zangu ameathirika kama hivi.Binafsi nimejifunza Kwa machungu niliyopitia toka dingi akimbie nyumbani, Ila kuna donda kubwa sana kila nikikimbuka alivyotuacha bila huruma… ni donda haswa la maumivi na sipendi Kabisa hayo mambo ya mtoa Mada…watoto watapata taabu…Ni Mungu tu aliyenipitisha kwenye tanuru lile na kufika hapa kutoa ushuhuda
Kwa bibi zetu iliwezekana hakukuwa na uzazi wa mpango, umri wa kuolewa ilikuwa 15-20, kama hamna matatizo ya uzazi hiyo ni idadi ya kawaida kabisa,Hivi hii inakuwaje kuwaje? Umemchakata mtu hadi umeipanua mara 12😅😅😅
Jibu lake ni rahisi sana, yeye aliwasaudia kaka na dada zake Kama 16 hivi na sisi pia Tusaidiane ili hali hata abc za maisha hatuna… yeye alikuwa mtu wa bata tu… Mzee wangu nimesamehe ili sisahau alipo niacha… na hata msamaha wake sijui huwa anaomba wa nini maana ni kunimwagia chumvi kwenye donda Langu… all in all mtoa Mada arudi Kwa wenye busara wampe skill set aitunze familia. Kukimbia yaweza kuwa kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi… changamoto haziishi maishani…Kumbe alikuwa na maokoto ya kutosha sana. Sasa ilikuwaje pamoja na kuwa mtu wa Mapene hajujenga Nyumba ya familia?
Imagine mtu aliyekuwa na kipato kikubwa alishindwa kujenga hadi nyumba je sisi tunaojitafuta hali si mbaya zaidi?
Daa imeniuma kweli kweli, wazaI wengi hawana hela au wamepinda kimaisha sio kwa sababu hawakuwa na fursa ya kuwa na maisha bora bali walihendekeza starehe na ujana.Siku dingi Akirudi kalewa ni mtafutano humo ndani- fimbo hadi basi bila sababu yeyote na anazikomba fedha zote za vibaragara… yaani ni maisha yalikuwa magumu Sana miaka hiyo ya 85’s…Halafu Leo tuko miaka ya 24, bado mtu aNaomba ushauri wa kuachana na watoto/ wife…
Kazi kweli kweli… mtoa Mada dish linaelekea kuyumba…Kwa kweli simshauri aendelee na Wazo lake… huko mbele ni giza totoro